Hivi sis wenye vidiploma tunacoment wapi?Supp haina huruma aise nilipokua chuo tokea nianze mpaka namaliza nilipata SUPP moja ya Economics ilikua ivi
tulikua na madame m moja anatufundisha Economics alikua mpole, sio muongeaji, mtaratibu, anafundisha vizuri, yani wakati wa kipindi chake ukijisikia huendi ukitaka unaenda yani haangaiki na mtu, kitim tim kilianza pepar ya test alituletea test ya economics rahis economics ya Advance 5&6 tulipata 90, 96, 84 zilikua za kutosha yani Coz work nilikua nayo ya 34 out of 40 sasa kimbembe ilikua final exam tulijua tena final mteremko yani economics tukaipuuzia tukajua ni inakuja rahisi kama ya test, dhuu!! Siku ya final ya economics nafungua mtihani duu sijawah jua kama kwenye economics kuna topics zile mtihan ulikua una maswali 5 kila swali 20mrks, nilijubu swali moja tu nilikua na huakina nalo, matokeo yanatoka na supp ya economics dhaa nilipata uzuni nikalipa 20,000 ya kurudia supp nilisoma kila kitu Nikachomoa iyo supp..
Mpaka sasa sipuuziagi kitu kila kitu nakichukulia uzito haya mambo ya mzaa sio mazuri aise.
kwa walio wahi kupata supp kama mm ya kwako ilikuaje??? Na ilikua ya nini???
Technical SupVyuo vingine UE ukishindws kufikisha 20 hata kama coursework una 40 umedakwa
Technical Sup!!Ipo sana.Hata mwaka wetu mtu ana 36 CW na akadakwa. Je alishindwa kupata 4?CW 34
UE. 20 hii Sup ya wapi ?
Mkuu unaonekana uwezo wako wa kufikiri n mkubwa na muaandiko wako ni wa kukoroga bishaNamshukuru Mungu sikuwahi kusup mpka namaliza na nilikuwa mtu wa bata sana
Asee watu mmesoma kwa raha yaan semister 1 masomo 6?? Sie semister ikiwa na masomo machache ni 9 tena hio semister inakuwa ya bata hatari bt mostly semister ilikuwa na modules 12 mpka 13 so kwa mwaka ni modules 24 &26 kwhyo kukuta watu wana sup zaidi ya 10 ilokuwa kawaida sana... shkamoo wana DIT alumn
Nime kusoma mkuunadhani haujamwelewa anachomaanisha.
yaani mtihani wa UE una marks 100. maswali 5@20 marks.
yeye alikuwa anajua moja tu la marks 20.
tukisema alipata hilo tu lote ana 20
20 x 0.6 = 12
jumlisha na CW 34
34+12= 46
na hapo inawezekana hilo swali la marks 20 hakupata lote
Ultimate au nakosea
Inawezekana ni utaratibu wa lecturer maana wengine anaweka marks 100 kwenye afu akisahihisha anaiconvert kwa 60 hiyo mi mwenyewe nimepitia sanaCW 34
UE. 20 hii Sup ya wapi ?
wale wa UDSM COET sitamsahau Prof Chambega second year ile shule ilijua kuninyoosha hakuna pakushika miti yoote inateleza first year gpa ya 4 second year gpa 2.8 na sup juu nilinyooka aisee....Chambega popote ulipo mzee wa Electrical analysis shkaoooo
Jungu hiliWaliokomaa wakalamba GPA mlima za 4.3 na Mimi wa 2.4 sote tunalipwa tgs D1.
Najipongeza Kwa kutokomaa sana.
Haaah hapo Company law issue za partnership corparate veil aisee shuleBusiness of Law third year ndo Leo nimeipata Supp
Ulidisko?pole sana.Ase maisha ya chuo bhana. Ndani ya miaka miwili yaani semester 4 nilikula supp 6 (supp zingine hazikutaka kuniacha, nikapiga mpaka carry over) ambazo zilitosha kabisa kuniondosha jijini Dar es Salaam.