Tuliowahi kuwa na maisha mazuri na sasa yametupiga chenga njooni tutete

Alikua msela flani na hereni sikioni kanyoa gwenzi hahahahaaa picha ya pili ndio suruali kubwaaa juu ya BMW la zamani ambalo linataka kurudi barabarani baada ya ushuru wa barabarani kufutwa

Nimeambiwa ilikuwa ni picha ya yule jamaa wa DMK kule DC.

Hahahahaaaa....nimecheka sana aisee.
 
Fadhila fadhili mbuzi utakunywa mchuzi binadamu hujui mkuu kama wana maudhi... Wafadhira wapundaka!!!
 
Alikua msela flani na hereni sikioni kanyoa gwenzi hahahahaaa picha ya pili ndio suruali kubwaaa juu ya BMW la zamani ambalo linataka kurudi barabarani baada ya ushuru wa barabarani kufutwa

DMK mwenyewe huyo hapo na nadhani hiyo picha ndo ulikuwa unaizungumzia
 
Unaweza kum describe kidogo huyo mtu kwenye hiyo picha?

Mzee? Kijana?

Manake kuna mtu kasema sijui 'nilikuwa' nimevaa suruali buga

Some of these folks are too funny.

You can't even get mad at them.
I like this comment!..
 
Ni kweli inauma unaposaidia halafu ukikwama wewe watu kuanzia wanaokuzunguka sio tu kwamba hawakusaidii bali wanakucheka na dharau juu, ila kusaidia ikiwa si kwa kutegemea kurudishiwa wala hautaona kama shida

Tatizo letu wengi tuna dhana kwamba tusaidiapo nasi tunapaswa kusaidiwa kiukweli si sawa mimi nimejitahidi kuwa na falsafa nikisaidia nasahau hapo hapo sababu na amini kutoa ni bora kuliko kupokea hiyo ni Motto yangu ktk maisha kwahiyo sina nacho taraji nikitoa sababu ya falsasa yangu hiyo ni kitu cha ndani yangu wala si nje
 
ni kweli unachokisema mkuu lakini kuna wale watu ambao unawasadia kwa moyo wako wate alaf hao hao wanakuja kushiriki kushusha mafanikio yako tena kwa miguu yao yote miwili na ukishuka kabisa wanakupiga vijembe.na ukijaribu kufikiria unagundua huwajai wakosea chochote kusa lako kubwa unalogundua ni kile kitendo cha kuwainua wakati walikua chini INAUMA SANA
 
kitu nilichojifunza maisha usije ukamsadia mtu kwa moyo wako wote ukitegemea kuna siku nawewe atakuja kukusaidia,hakuna icho asee yani kuna binadamu zaidi ya kumi nimewasaidia sasa wana maisha mazuri ndugu yao nimefirisika hata salamu hawanipi.

Yani nimefuga mbwa alafu wananibwekea wenyewe.

SHUKRANI KWAKO NYANI NGABU UNA ROHO NZURI SANA
Kiongozi pole Sana, mm ni muanga mwenzio katika hilo.
tujipange tusirudie kosa tena.
Kukosea njia ndio kujua njia.
 
mimi nilikuwa juu mwanzo baadae nikatetereka... niliowawashika mkono wakajiinua na kuniona mjinga badala ya kunishika mkono... Mungu si Athuman nikapiga moyi konde kwa ushauri wa humuhumu Cc kana ka Nsungu na wengine big up. nikapiga moyo konde niaanza upya nikapambana katika jua na mvua alone mke kasepa kaolewa juu. nimehit back after 8 yrs heavily katika viwango vya F35 joiny strike jamaa wote almost wamepoteana kila mtu na njia yake.. yule mwanamke kaniomba nimsaidie apate kijenga nyumba maana aliniomba moja ya mijengo yangu nilichofanya ni kumnunulia kiwanja atafute mahala pa kuanzia. ten years to come naona ntaku level za anga za matajiri wakubwa Mungu akijaalia sasa hivi naset investment zangu za long term plan viwanja kadhaa hadi beaches mashamba kuanzia heka 50 onward. sasa hivi wanajidai kurudi nimeweka ukuta na kerubi la kulinda nzige hao. (mke jeuri) mlango umebaki kwa wazazi na wachungaji full stop.
laaahhh nilizani nipo peke yangu mkuu asante kwa kunipa moyo mimi niliwai sana kumiliki pesa nikiwa na umri mdogo.tatizo nilikua mtu wa kutoa sana mtu akija na shida simuulizi mara mbili mbili namsaidia anasema sasa kuna hawa ambao niliwasaidia hadi mitaji laaahh kumbe wenzangu walikua wanashindana namimi bwana wameshiriki hadi kuniangusha.
Mimi sijaoa nipo na mwanamke nashukuru yeye hajanitupa mkono ananipa moyo wa kupambana kila siku
 
Usihangaike kuwawaza sana hao waliokutolea nje maana hawana msaada nawewe hao ndio tunawaita toxic people removes all from your life. Wewe ulikua tuu kama daraja kwao la kuwavusha basi. Sasa anza kumuomba Mungu akupe watu wapya wakukuvusha atakuinulia watu hadi ushangae nasio lazima wawe ndugu hata watu baki kabisa wanaweza kusimama Kama ndugu zako na maisha yakaenda kuliko hata mwanzo,
 
ni kweli unachokisema mkuu lakini kuna wale watu ambao unawasadia kwa moyo wako wate alaf hao hao wanakuja kushiriki kushusha mafanikio yako tena kwa miguu yao yote miwili na ukishuka kabisa wanakupiga vijembe.na ukijaribu kufikiria unagundua huwajai wakosea chochote kusa lako kubwa unalogundua ni kile kitendo cha kuwainua wakati walikua chini INAUMA SANA

Nakubaliana nawe kwa hili lakini hata katika kusaidia lazima uwe mtu wa mipaka na kuona unasaidia lipi na ktk uhitaji upi maana saa nyingine tunasaidia ili tu tusilaumiwe na ndugu au jamii au hata show off tu za kusaidia hapa pia tunatakiwa kuwa makini

Pia mtu unatakiwa tu kujua toka mwanzo katika maisha si lazima upate unachotarajia kwahiyo kujua tu msaada wako hauta kuhakikishia kupata nawe msaada ukikwama inakusaidia kipindi mambo yamegeuka na hautaweka vinyongo na kisasi

Kama nilivyosema nimejifunza kusaidia kutoka ndani yangu si sababu za nje na nasaidia tu napoona kuna sababu za msingi na sipo driven na jamii ina matarajio yapi kwangu tu sababu labda naweza kusaidia lkn haya yamekuja baada ya kujifunza sana ktk kuanguka na kusimama mara kadhaa
 
Ni ukweli mtupu, nimejifunza roho mbaya kumbe ndiyo mtaji, hakika naanza upya ila Kuna funzo nimepata
Roho mbaya sio sawa ila ujifunze huwezi kumridhisha kila mtu kwenye maisha, Fanya Yale unayoweza usiyoweza yapishe yakupite tuu, me first iwe ndio formula yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom