Tuliowahi kutuma sms kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Messages
1,479
Points
2,000
lhera

lhera

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2018
1,479 2,000
Sijawahi kukosea. Sijui kwanini naonaga ni uzembe tu mtu kukosea kusend sms.
Hiyo kukosea inatokea vipi! Unakuwa unachati labda na mzazi wako ghafla ukaanza kuchati na rafiki yako sasa yalemazoea ulikuwa unasend kwa mzazi unajikuta umemsendia tena mzazi
 
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
10,473
Points
2,000
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
10,473 2,000
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
 
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
10,473
Points
2,000
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
10,473 2,000
Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
hii umetungaa
 
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
10,473
Points
2,000
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
10,473 2,000
Daaah umenkumbusha enzi nnamiaka 16 ndo nnaanza anza kuvijua videmu
Bas nkAwa nnakanokia fulan ka zamani hivi
Humo ndan kama namba kama kumi hivi
Basi nipozangu geto nnachart na kadem kangu nakapa maneno matamu tam yakitoto toto.. Yale kumbe nmesend msg kwa mzee bila kujua....... Nkaenda kwenye sebule yao inayopakana na master bedroom yao fast nikagonga nkamwambia mzee samahani nnashid na sim yakk dakika moja akanipa
Ile nnashika tu na msg ikwa ndo inaingia chaaaaaaaap!!!! Nkafuta nkawapa
Hapo tayari nkawa nakaz yakufua boxa na surual.... Nadhan mmeelew kilichofanyikap
ulijikojolea au?
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,119
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,119 2,000
Hiyo kukosea inatokea vipi! Unakuwa unachati labda na mzazi wako ghafla ukaanza kuchati na rafiki yako sasa yalemazoea ulikuwa unasend kwa mzazi unajikuta umemsendia tena mzazi
Binafsi sina kawaida ya kuchart na mzazi.

Mzazi tunaongea tu moja kwa moja.
 
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
2,284
Points
2,000
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
2,284 2,000
Kuna siku manzi angu alikua anachat na kabishoo kake kanaitwa ka Rahim sijui!!Si akatuma kwangu et"Raheem nakupenda sana naomba usiniumize plz"Nikajua tu uyu boya kazama chakiume,nikamjibu"Duh.!Ilo jina la Raheem umenibatiza lini mamiloo?"akajichekesha kinafiki uku ana vibrate et analipenda tu ilo jina anapenda awe ananiita ivo au tukizaa mtoto tumuite Raheem,Nilichofanya ni kumualika ahudhurie geto anibatize rasmi ilo jina,Nilimhondomola kinyama alaf nikamtema apo apo.
hii nmecheka kweli et nilimhondomola
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,128
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,128 2,000
Nilikuwa nakatongaza kademu kitaani nimekapanga vizuri nikawa naelekea home nimebakiza kama mita mia tatu hivi kufika si nikamtumia mshua bwanaa bwanaaa niligeuka farasi sjui Lamborghini niliamsha yaan sms inafika simu inalia na mimi naingia bahati nzuri ilikuwa sebulen dingi anatizama habari nikajipigisha simu nikafanya kama mtu ananipigia kunitajia no nikaichukua kama nacopy namba nikafuta sms
Kwa hiyo ulikimbia kuliko sms

Dah mkuu chai ina sukari nyingi hii
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,128
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,128 2,000
Dada yangu alikosea kutuma ikaja kwangu ilikua inasema (leo umenipa penzi tam ila dudu lako ni kubwa )
Na mimi nika mjibu ( kwahiyo leo tayari )kasema dogo kausha nikamwambia paka amesikia harufu ya samaki alafu ajifanye hajaisikia
Hadi leo haniangalii usoni
Na binam nishamla sababu ya kukosea sms nakomaa had na mimi anipe
Teh kwa hiyo unataka ule dada ako dooh
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,128
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,128 2,000
Nakmbuka niliwah kosea kwenye group la Whatsapp nlipopanga ,bili ya maji ilitumwa alafu m nikajibu 'asante honey' ile wenge badala ya kudelete for all nikadelete kwangu tu. siku nzima nilishinda ndan naogopa kuonana na mwenye nyumba...ila nazani alijua nmekosea hata hakuuliza
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,128
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,128 2,000
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi


Nmecheka kifala
 

Forum statistics

Threads 1,325,761
Members 509,278
Posts 32,202,083
Top