Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Dada yangu alikua na boyfrind wake,story za kitaa ilikua inasemekana jamaa huwa anakujaga home kumgegeda kukiwa hakuna mtu,..daaa ilikua inaniuma kinoma' Siku hiyo mida kama ya saa 3 usiku nikaiba simu ya sister nikamtumia text jamaa' Baby kama unaweza njoo nyumbani nipo mwenyewe hakuna mtu wote wameenda kwenye harusi watarudi kwenye saa 7 usiku hivi', njoo nikupe cha fasta, jamaa akajibu nakuja, nikamwambia ukifika we zama tu ndani then nikafuta text zote nikarudisha simu nilipoitoa,,,ukwiru noma asee dk kama 15 hivi jamaa si akafungua mlango kazama ndani bila hodi akatukuta familia nzima tupo mezani tunakula' watu wote macho kwake ,jamaa akaduwaa na ukimya ukatawala kama nusu dakika hivi' hana cha kuongea ,mwisho akapata akili ya kutoka nduki"""" ahahha ilibidi nitoke nikachekee chooni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakmbuka niliwah kosea kwenye group la Whatsapp nlipopanga ,bili ya maji ilitumwa alafu m nikajibu 'asante honey' ile wenge badala ya kudelete for all nikadelete kwangu tu. siku nzima nilishinda ndan naogopa kuonana na mwenye nyumba...ila nazani alijua nmekosea hata hakuuliza
Huyu mi na Depal 🤣🤣
 
Nimeacha kuchati muda maana na huu uzee kila nikiwa na michepuko najikuta namtumia meseji mke wangu kipenzi badala ya mahawala , basi kila nikirudi nyumbani wa ubani kanuna .

Nikiuliza shida ni nini ? Naoneshwa meseji ubaya nawaahidi vitu vizuri vizuri na mke wangu anajua fika hii meseji sio yake maana ninavyoahidi yeye anavyo .

Nikajiapiza kuwa kila meseji kwenye simu ikiingia mimi nikupiga tu .

Ikafika mahali michepuko ikahisi sipendi kuchati kumbe napenda ila sasa uzee tabu nachanganya mafile .

Old is gold yote yalipita sasa niko na mke wangu tunaenjoy japo uwa anakumbushia ushamba wangu wa kuchanganya meseji tunacheka anaishia kusema wewe lizee lijinga sana
 
Hahahahhahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom