Tuliowahi kutongoza wafanyakazi Wa Airtel ,Tigo Halotel ,Voda wakat tumewapigia kupata huduma na tukafanikiwa !!!.

  • Thread starter Vladimirovich Putin
  • Start date

Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,319
Likes
18,815
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,319 18,815 280
mwaka fulan ,,nikiwa mtumiaji Wa Airtel ,, nilipatwa tatizo upande Wa Airtel money ,, Nikalazimika kuongea na Huduma kwa wateja.

Mara yakwanza alipokea mwanamme lkn nikawa simuelewi ...nikakata simu nikapiga tena, Alipokea mwanamke anasauti nzuri nanyororo.
.yule Dada mwanzo niliongea kwa ukali lkn baadae nikahisi anaumia Mimi kuongea vile chakushangaza hakutaka kukata simu yangu.Ndipo niliamua kuongea kawaida ,, kilichonishangaza alikua akicheka Cheka ,, nikaona sio tabu baada ya kunitatulia tatizo langu ,nikmwambia unasauti nzuri , ukipata muda nitafute kwahiii namba ,naye akajibu " Asante kwa kuchagua Airtel karibu tena ".

Kesho yake nikiwa nmejipumzisha na washikaji zangu mahali ivi ,, Inaingia meseji " Nambie ,,its me Mdada Wa Airtel !!...ilibidi niage wana nakurudi nyumban ,, kwaufupi tuliongea kwasimu kwamuda mrefu sana .Hakuwa ameolewa ila alikua namtoto ,, aliishi nyumban kwake mwenyewe....ikawa ivo hatimaye baada ya mwezi aliniomba kunitembelea !!!.sikuona iyana nilimkubalia nasiku ya Jumapil alikuja ktk huo mwezi ( mbali na kunionyesha tabia ya usikivu na upole mcheshi aiseee umbo lake pia lilitosha kumuongezea sifa ).

Alipika ,tukala ,tukanywa alikua hot sana na nahisi alikua siku za kubeba mimba .kilichotokea nilimwambia next time ! .Alikua mwelewa sana na akaamua kuondoka .

Bahat mbaya siku chache zilizofuata ,, nikawa nmesafili nje ya nchi na at least nilikaa km miezi minne ,, mawasiliano nayule Dada yakapotea kabisaaa , nilirudi nikawa nmeshapoteza mawasiliano naye .na nikaamua kusajili namba nyingine .

SASA MAAJABU NIHAYA.
Jana niliamua ku irudisha ile namba yangu ya mwanzo sasa nikaamua kujiunga .Bahati mbaya Airtel wamesumbua sana kujiunga vifurushi ,, nilikua nmejiunga kupitia Airtel money ,, muamala haukukamilika nikaambiwa wasiliana namteja...Niliamua kulala na Leo ndo nimeamua kuwapigia .....Lahaulaaaaaaaa Yule mwanamke ambaye alinihudumia wakat ule mpaka tukawa wapenzi ndo Uyu Uyu Leo kanihudumia ,,nilipomwambia weee ni Su****?? Amekubali nayeye ndo kanikumbuka...Aiseeee kaamua kunitafuta tena kwa simu yake anadai mwakani mwezi ujao anaolewa .
Nmemwambia hongera mama ,,lkn ameniomba nikutane naye kabla ya ndoa yake .


Wakuuu mnasemaje nimwaka mmoja na miezi km saba ivi imepita sijui alikua akiishije naanayoyafanya....
Nikikubali ,je sitokua sehem ya kuvuruga mipango alojiwekea hususan ndoa ???.coz anaweza egemea upande Wangu sana mpaka akajisahau km nmchumba wamtu namm kwasasa suala lakuoa sio priority kwangu.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
18,365
Likes
40,699
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
18,365 40,699 280
Mimi Nilitongoza mtoto wa katekista nyumbani kwake, niliongea hadi maneno yakaisha ananiambia endelea hadi nikuelewe..
Tulikua nyumbani kwao baba ake yupo pembeni anaongea..
Nilichoka aisee na sikumpata hafu huyo demu alikua na sauti kama ya huyo Su..... Wa Airtel uliyeongea nae..
 
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,901
Likes
2,362
Points
280
Ekyoma

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,901 2,362 280
Aisee
 
Ficus

Ficus

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Messages
1,424
Likes
930
Points
280
Age
31
Ficus

Ficus

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2013
1,424 930 280
Huyo mwanamke hajitambui, yaani una uchumba na mtu na mwakani unaolewa bado unaomba kabisa kukutana na x wako ambaye hata haukufahamiana naye vyema seriously?!!!

Namsikitikia sana mwanaume mwenzangu!
Nikirudi kwako Vladimirovich Putin ww mwenyewe umesema ni mchumba wa mtu na mwakani anaolewa unataka ushauri gani hapo?!
Unataka tukupe go ahead?! Silly.
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,319
Likes
18,815
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,319 18,815 280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
14,319
Likes
18,815
Points
280
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
14,319 18,815 280
Mimi Nilitongoza mtoto wa katekista nyumbani kwake, niliongea hadi maneno yakaisha ananiambia endelea hadi nikuelewe..
Tulikua nyumbani kwao baba ake yupo pembeni anaongea..
Nilichoka aisee na sikumpata hafu huyo demu alikua na sauti kama ya huyo Su..... Wa Airtel uliyeongea nae..
Aiseee hongera mkuuu .
 
Rahabu

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
5,498
Likes
2,617
Points
280
Rahabu

Rahabu

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2014
5,498 2,617 280
Natuliotongozwa Je?
 

Forum statistics

Threads 1,237,333
Members 475,533
Posts 29,284,898