Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

Niliwahi kupigwa sp za kitosha kutokana na ubandidu utukutu, umafia, na kila aina ya utundu..

Nashukuru nilihitimu salama

Kwa sasa ni afisa mwadilifu mno.. na kiigizo cha wastarabu na mshauri mzuri pia..
 
History nzuri sana kaka
EINSTEIN112, Mimi yangu ndefu Sana lakini kufupisha ni kuwa nilipewa suspension o level nikiwa form four ya wiki mbili kisa nasoma tuition nje na shuleni na ilikua shule ya day.

Suspension ya pili nilipewa nikiwa advance kisa nilikuwa mmoja wa waanzisha mgomo,

Na hii nilikula ya wiki 6, na nilipewa barua ya kwenda kuisaini kwa afisa elimu wa mkoa nirudi nayo shule siku suspension ikiisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAJOMBA NIMECHEKA YAANI MMEAFANYA VIBWEKA VYA KUTOSHA SKULI YA KWANGU NI KWAMBA KUNA DEMU NILIKUWA NAFKUZIA KUMBE ANALIWA NA MWL WA NIDHAM NILIMUWINDA TICHA HADI NIKAWAFUMANIA LAIVU, NDANI YA BONGE DINNING HALL NILIKUWA NAPIGA MSULI PEKE YANGU WATU WALIKUWA WANALIOGOPA JENGO WANASEMA USIKU SIJUI KUNA MAJINI SASA HIYO SIKU KAMA KAWAIDA YANGU NAPIGA MSULI UMEME UKASEPA NIKABAKI HUMO NIKIUSUBIRI YULE TICHA AKAJA NA YULE DEMU WANAKOKOTANA HADI WAKAKWAMIA KWENYE MEZA NILIYOKUA NASOMEA BILA WAO KUGUNDUA KAMA NIPO PALE...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Form three hiyo na wanangu tumetoroka shule, njian tunakutana na manzi akaomba angalie kitabu nlichoshika, nlivyompa akasema yeye ni mwalimu wa field na kwann tunatoroka turudi wote shule huku yy akitangulia...oh tukaona hili soo bahat nzur wakati tunajishaur akatokea mbabe wa shule(damme..sijawahi kuona mtu tukutu kama huyu)

tukamwambia kuna jero hapa katuchukulie kitabu kwa yule manzi kule anayetembea aisee kufumba na kufumbua alienda kwa speed ya umeme kampa kofi ajakaa sawa tama then akachukua kitabu (note: na yy ajui kama yule ni ticha) akaturudshia tukaacha nyoya...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilitoroka shule kipindi nipo form four mwezi wa nane hivi, yote yalisababishwa na Rich Dad Poor Dad nikafika home nikaenda kununua hisa na mzazi alikuwa ananisapoti kutoroka kwangu baada ya mda shule kikanuka.

Nilivyojulikana aliniruka balaa msala wote akamuachia maza, Headmaster anamueleza mzee anakuja kunifata home uzuri ni kwamba wanajuana nimepelekwa shule nimepewa suspension ya mwezi mmoja na zaidi nikajikuta nunda nikaacha kila kitu skuli home nikawa sisomi wala nini

Baada ya suspension kuisha nikawekwa kwenye kikao na staff nzima pamoja na mzazi niliongea balaa ule ujasiri sijui niliokota pande gani hadi walimu wakanipongeza wakaona kama walinionea kunipa suspension

Jasiri haachi asili bana haikupita wiki nikatoroka usiku kwenda kununua mandazi tena wakati wa kurudi shule Niko barabarani naona gari inanimulika na ni ya second master nikageuka mlevi wa mtaani ndiyo likawa kosa naona gari inanifata tuu second akajawa na huruma anataka kunisaidia nilipotelea kwenye migomba kwa mwendo wa Abood nikashtuka nipo prepo na mandazi yangu

Baada ya siku mbili tuu second akaniita kumbe alinijua hicho kipigo lazima nije niwaeleze watoto wangu aseee.

Nyingine nilikuwa nipo lugoba Secondary nitarudi.
 
Nakumbuka nilitoroka shule kipindi nipo form four mwezi wa nane hivi, yote yalisababishwa na Rich Dad Poor Dad nikafika home nikaenda kununua hisa na mzazi alikuwa ananisapoti kutoroka kwangu baada ya mda shule kikanuka.

Nilivyojulikana aliniruka balaa msala wote akamuachia maza, Headmaster anamueleza mzee anakuja kunifata home uzuri ni kwamba wanajuana nimepelekwa shule nimepewa suspension ya mwezi mmoja na zaidi nikajikuta nunda nikaacha kila kitu skuli home nikawa sisomi wala nini...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilitoroka shule kipindi nipo form four mwezi wa nane hivi, yote yalisababishwa na Rich Dad Poor Dad nikafika home nikaenda kununua hisa na mzazi alikuwa ananisapoti kutoroka kwangu baada ya mda shule kikanuka.

Nilivyojulikana aliniruka balaa msala wote akamuachia maza, Headmaster anamueleza mzee anakuja kunifata home uzuri ni kwamba wanajuana nimepelekwa shule nimepewa suspension ya mwezi mmoja na zaidi nikajikuta nunda nikaacha kila kitu skuli home nikawa sisomi wala nini...
daah umetisha man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilikuwa mzee wa kuvuta , mfano tumegunga mwez wa kumi na mbili tunafungua wa kwanza , mm naongeza mmoja mbele. Naingia wapili.

Sema nilikuwa nauzuria mapind mwenge. Nimefika form 6 .Nikaama shule nikaingia shule jirani kukamua ila sikushitukiwa ingawa , wenzangu walipigwa per mm bado nipo hom niliposikia nikaliunga hukohuko hadi susp. ...ikaisha .Niliingia shuleni one week b4 necta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minaki su Pugu hii
Mm nilikuwa mzee wa kuvuta , mfano tumegunga mwez wa kumi na mbili tunafungua wa kwanza , mm naongeza mmoja mbele. Naingia wapili
Sema nilikuwa nauzuria mapind mwenge.
Nimefika form 6 .Nikaama shule nikaingia shule jirani kukamua ila sikushitukiwa ingawa , wenzangu walipigwa per mm bado nipo hom niliposikia nikaliunga hukohuko hadi susp. ...ikaisha .Niliingia shuleni one week b4 necta

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom