Tuliowahi kupata ufahamu tukiwa ndotoni tukutane hapa

roselyn2

Member
Jun 7, 2022
86
380
I mean unapata ufahamu na kujielewa kabisa kuwa hapa nilipo ni ndani ya ulimwengu wa ndoto wala si uhalisia

Unafanya unachotaka, unakwenda unapotaka, pia unadumu ndani ya ndoto hiyo kwa muda mrefu zaidi

Jamani, mliowahi kupata hizo ndoto mlifanyaje fanyaje? Natamani ila nashindwa. Tupeni mbinu basi
photo-1444703686981-a3abbc4d4fe3.jpg

Msisahau na namna ya kujitoa ndani ya hizo ndoto. Tunahitaji maujuzi kutoka kwa waliowahi kupitia hii situation na wala sio wasomaji wa kwenye blogs

Nisaidieni mwenzenu
 
I mean unapata ufahamu na kujielewa kabisa kuwa hapa nilipo ni ndani ya ulimwengu wa ndoto wala si uhalisia

Unafanya unachotaka, unakwenda unapotaka, pia unadumu ndani ya ndoto hiyo kwa muda mrefu zaidi

Jamani, mliowahi kupata hizo ndoto mlifanyaje fanyaje? Natamani ila nashindwa. Tupeni mbinu basiView attachment 2393528

Mi ilinitokea lakini ilikuwa ni kwenye ulimwengu hatari sana....nilikuwa napelekwa ndotoni narudishwa ulimwenguni...ilikuwa ni mapambano ambayo namshukuru Mungu kunivusha nikawa hai mpaka sasa
 
I mean unapata ufahamu na kujielewa kabisa kuwa hapa nilipo ni ndani ya ulimwengu wa ndoto wala si uhalisia

Unafanya unachotaka, unakwenda unapotaka, pia unadumu ndani ya ndoto hiyo kwa muda mrefu zaidi

Jamani, mliowahi kupata hizo ndoto mlifanyaje fanyaje? Natamani ila nashindwa. Tupeni mbinu basiView attachment 2393528

Msisahau na namna ya kujitoa ndani ya hizo ndoto. Tunahitaji maujuzi kutoka kwa waliowahi kupitia hii situation na wala sio wasomaji wa kwenye blogs

Nisaidieni mwenzenu
nishawah kupwatw na hy hali ila enzi hz za utoton nakula kwa wazaz ila now najua hazwez kujirdia maisha yashakuw magum ck hz
 
I mean unapata ufahamu na kujielewa kabisa kuwa hapa nilipo ni ndani ya ulimwengu wa ndoto wala si uhalisia

Unafanya unachotaka, unakwenda unapotaka, pia unadumu ndani ya ndoto hiyo kwa muda mrefu zaidi

Jamani, mliowahi kupata hizo ndoto mlifanyaje fanyaje? Natamani ila nashindwa. Tupeni mbinu basiView attachment 2393528

Msisahau na namna ya kujitoa ndani ya hizo ndoto. Tunahitaji maujuzi kutoka kwa waliowahi kupitia hii situation na wala sio wasomaji wa kwenye blogs

Nisaidieni mwenzenu
lucid dreams
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom