MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,049
Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga kelele sister tunakufaaa pale ndio aliponitisha zaidi pikipiki ilikosa direction ikawa ninachira zigzag,barabara ni very rough imechimba kabisa mifereji ktktk kwasababu ya mvua za mwaka huu(nadhani haikuwa dalili njema kwa wizara ya madini (makinikia).
Niliangalia mwisho wa barabara kuna miti minene imepanda kimkingamo,ilikuwa tuivae bila ubishi nikaamua kuruka nijiokoe tu,hasa nilipowakumbuka wanangu bado wadogo nikachukua maamuzi ya kuruka,the rest nilijikuta hospitali mwili wote una damu hasa usoni.
Imagine nikaja kushonwa saa7 usiki toka 8:33 nilipoanguka.Daktari aliniambia yaani wewe kuruka ndo imekuwa pona yako ile miti ulikuwa unaenda kuivaa., mawili mimi wa nyuma kuangukia mgongo na kuvunjika mgongo au kufariki maana miti ilikuwa imebabana asingeweza ikwepa.
Nashukuru sikuvunjika na ruka yangu ndo ikawa pona yangu,na nikamsaidia dreva nae aanguke mbele yangu,nae aliumia ila sio sana.
Je, wewe uliewahi kupata ajali huwa unaiongeleaje?
Poleni wote mliowahi kuajalika na kupata ulemavu na kupoteza ndugu, mimi niliponea chupuchupu ila ningeganda kusubiri miujiza walah hata ishu ya MAKINIKIA nisingeijua wala madini ya TL nisingeyasikia.
My take madereva kuweni makini
Thanks GOD