Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

Dah! tulikutwa tunabanjuka kwenye gari kilichofuata nimesahau wait......nijaribu kukumbk manake.....
 
Maisha ya Ujana ni shida.
Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu alichepuka kwenye Ndoa yake iliyokuwa changa kwa wakati huo, ambapo hakuonekana kwake kwa siku moja. Mkewe na baadhi ya nduguze walihangaika kumtafuta bila mafanikio. Kwa bahati nzuri au mbaya taarifa ya kutoonekana kwake haikuwa imefikishwa kituo cha Polisi. Hivyo jamaa baadaa ya kutoka kwenye uchepukaji wake alitutafuta baadhi ya marafiki zake ili tumsaidie namna ya kukabiliana na hatari iliyo mbele yake. Baada ya mashauriano ya muda mrefu, tukaamua kumtafuta rafiki yetu ambaye by then alikuwa ni OCCID wa eneo lile. Ikabidi jamaa yetu (mchepukaji), awekwe lock up ili kuonesha kuwa alikamatwa na Polisi waliokuwa doria siku iliyopita kwa kosa la kufanya vurugu mahali fulani.. To cut the story short ni kwamba mkewe ndiye aliyeenda kumuwekea dhamana na jamaa akatolewa lock up.
 
1. Kama sikujui na ukijifanya kunichangamkia ujue utaishia kutukanwa
Sio vizuri kutukana kila usiyemjua.

Mwingine anaweza akawa ni mwema tu ingawa hamjuani.

Kuliko kumtukana ni bora ukakaa kimya husijibu kitu.
Ofa za wanaume walio smart, nimekoma tena nimekoma kabisa.
Kwaiyo sasa hivi unataka za wanaume walio rough?.

Pole sana by the way kwa yaliyokutokea.
 
Tangu siku hiyo:
1. Kama sikujui na ukijifanya kunichangamkia ujue utaishia kutukanwa

2. Ofa za wanaume walio smart, nimekoma tena nimekoma kabisa.

3. Ukinisalimia njiani na nikakuitikia ujue una bahati.
Ila All in All ule ulikuwa ni umalaya tu ambao sitakaa niusahau.
Nilijua nimeopoa mkaka smart kumbe kimeo na kuishia mahabusu.
Kweli dunia ina mambo, pole sana mdada!!
 
nilinunua baiskeli ya kidhungu...mikocheni.
siku najidai nayo mitaa ya kati kawe..
akaja mzee mmoja ati nimkimbize hadi ukwamani ...
kufika usawa wa kituo cha polisi akaniambia twende pale ana akari ampe hela....
heeee si nikabadirishiwa rangi pale....nikasikia afwande riweke hiri rijamaa rokapu ni rijizi ra baskeli..
heee kama masihara ilikuwa saa kumi ngoma hadi kesho hiyo....
kumbe yule mzee alikuwa gardener pale kwa mzungu na aliibiwa baiskeli kama ile ile....kwa bahati nzuri kesho yake mke ya mzungu alikuja kuseto ze matta....mmmmmh
 
ukiwa na credit mfukon kulala seko si rahisi,wakati ule unakabidhi kaunta unamshtua jamaa baada ya muda kupita mle ndani pametulia anakushtua unasepa kama n usiku sana wanakusindikza na gari yao mpaka mlangoni!
 
Miaka hiyo enzi hizo ajax kino haipiti wiki Lazima tukadhuru selo

Ova
 
nilinunua baiskeli ya kidhungu...mikocheni.
siku najidai nayo mitaa ya kati kawe..
akaja mzee mmoja ati nimkimbize hadi ukwamani ...
kufika usawa wa kituo cha polisi akaniambia twende pale ana akari ampe hela....
heeee si nikabadirishiwa rangi pale....nikasikia afwande riweke hiri rijamaa rokapu ni rijizi ra baskeli..
heee kama masihara ilikuwa saa kumi ngoma hadi kesho hiyo....
kumbe yule mzee alikuwa gardener pale kwa mzungu na aliibiwa baiskeli kama ile ile....kwa bahati nzuri kesho yake mke ya mzungu alikuja kuseto ze matta....mmmmmh
Hahahaha vp hapo kawe mkuu wa kituo alikuwa mrema au maana hyo jamaa alikuwa anapenda hela balaa

Ova
 
ukiwa na credit mfukon kulala seko si rahisi,wakati ule unakabidhi kaunta unamshtua jamaa baada ya muda kupita mle ndani pametulia anakushtua unasepa kama n usiku sana wanakusindikza na gari yao mpaka mlangoni!
Kuna wakati polisi una burgain nao khsu hela
Watanza 50000/ mwishoni hadi buku 10 watachkua

Ova
 
Sio vizuri kutukana kila usiyemjua.

Mwingine anaweza akawa ni mwema tu ingawa hamjuani.

Kuliko kumtukana ni bora ukakaa kimya husijibu kitu.
Kwaiyo sasa hivi unataka za wanaume walio rough?.

Pole sana by the way kwa yaliyokutokea.
Mkuu hayo yote nimefikiria kabla ya kuandika, ila kiukweli hukuniona tu jinsi nilivyopata wakati mgumu kama siku ile.
Nilifedheheka mno...mno
Imagine uko katikati ya kundi la watu wakiwemo wanafunzi wangu ninaowafundisha darasani wakisikia jinsi mwalimu wao ninavyotuhumiwa mie jambazi, malaya, mwizi na kejeli kibao.
Hebu vuta picha hapo kesho darasani mazungumzo yatakayoongelewa.

Acha tu niwe na tabia mbaya au jeuri au kiburi.
Ila mie binafsi, ukijifanya kunichekea njiani na kama sikujui ukalazimisha salamu....nakudhalilisha.
Bado nina uchungu.
Hapana aisee
 
Maisha ya Ujana ni shida.
Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu alichepuka kwenye Ndoa yake iliyokuwa changa kwa wakati huo, ambapo hakuonekana kwake kwa siku moja. Mkewe na baadhi ya nduguze walihangaika kumtafuta bila mafanikio. Kwa bahati nzuri au mbaya taarifa ya kutoonekana kwake haikuwa imefikishwa kituo cha Polisi. Hivyo jamaa baadaa ya kutoka kwenye uchepukaji wake alitutafuta baadhi ya marafiki zake ili tumsaidie namna ya kukabiliana na hatari iliyo mbele yake. Baada ya mashauriano ya muda mrefu, tukaamua kumtafuta rafiki yetu ambaye by then alikuwa ni OCCID wa eneo lile. Ikabidi jamaa yetu (mchepukaji), awekwe lock up ili kuonesha kuwa alikamatwa na Polisi waliokuwa doria siku iliyopita kwa kosa la kufanya vurugu mahali fulani.. To cut the story short ni kwamba mkewe ndiye aliyeenda kumuwekea dhamana na jamaa akatolewa lock up.
Yaani nimecheka, nimecheka, nimechekaaaaa!
 
haahhahaha
NILIWAHI KUMTANDIKA OCCID MMOJA BAA
baada ya kuniuliza UNANIJUA MI NANI?MI NIKAMWAMBIA HATA UNGEKUA MUNGU HUWEZI KUNINYAKUA KADEMU KANGU
Aisee nilala lockup ila kesho yake nikatoka tukakutana tena palpale baada tukayamaliza kwani alinipoza na bia4
 
Tangu siku hiyo:
1. Kama sikujui na ukijifanya kunichangamkia ujue utaishia kutukanwa

2. Ofa za wanaume walio smart, nimekoma tena nimekoma kabisa.

3. Ukinisalimia njiani na nikakuitikia ujue una bahati.
Ila All in All ule ulikuwa ni umalaya tu ambao sitakaa niusahau.
Nilijua nimeopoa mkaka smart kumbe kimeo na kuishia mahabusu.

Wewe nimekuwekea like ila haya maazimio yako hayahusiki na like yangu. Ni ile story ya kule juu.
 
Nilikuwa naendesha gari natokea Amani naenda meli 4. Kufika kwerekwe nikakutana na mshakaji wangu akaniambia turudi Amani kwenye baa flan tukapate msosi
Baada ya kula tukaanza kutupia vyombo, kuna wengine walikuwa wanacheza kamari ya pool. Nikawatamani, nikilewa nakuwa mtam sana kwenye pool,
Niliwapuna kumbe ni maaskari, kuna kioo kilikua chino kdg kumbe waliniwekea bange kwenye gari. Tunataka kuingia garini tu, tumevamiwa na askari 4. Tulikaa lockup lakini hatujalala. Niliwarudishia hela niliowala na zile bange zao tulizivuta pamoja!"
Ha ha ha ha! Umenichekesha sana mkubwa!
 
Nimeingia selo Mara mbili
1.nlimtia mimba mwanafunzi wa form 2 muda huo mi nishamaliza form 6 ila aliitoa kesi ikaisha
2. Nlikamatwa nakunywa balimi SAA 5 asubuhi mida ya kazi nkatupwa selo ila nlitoka baada ya kuwagea fine ya 20 na zile balimi 5 zilizokua mezani mkawambia kunyweni mfaidi
 
Sijakataa kwenda

Hata siku nikienda sitaki sababu ya ulevi ndio inipeleke
Bro sero nikuomba tu usipelekwe! Sasa hivi kila mahali panaeza kukusababisha uende sero hata kwakusingiziwa maana hata walioko sero wengi wamesingiziwa afu na vikesi vyakijingakijinga. Unaeza mjibu mtu kitu akakupeleka polisi kuwa umemtukana au umemdhalilisha,kama unapenda kucheza pooltable siku moja unaezakutwa na lakukutwa. Mambo ni mengi mnoo yakukupeleka sero ila hatuombi tukutanenayo. Kwahiyo si sehemu ya kuapa kuwa hutaweza kwenda ila nikuwa makini ndani na nje!!!
 
haahhahaha
NILIWAHI KUMTANDIKA OCCID MMOJA BAA
baada ya kuniuliza UNANIJUA MI NANI?MI NIKAMWAMBIA HATA UNGEKUA MUNGU HUWEZI KUNINYAKUA KADEMU KANGU
Aisee nilala lockup ila kesho yake nikatoka tukakutana tena palpale baada tukayamaliza kwani alinipoza na bia4
Kwenye ushenzi wako acha kumtaja au kumfananish a Mungu na vikaragosi muache kabisa .huoni hata aibu...
 
Back
Top Bottom