Tuliowahi kukutwa na hiki kisanga tukutane hapa

Uzi huu umenisaidia sana.....huwa sipendi kupigiwa simu hata kidogo, sijuhi kwanini...msg naona afadhali kwasababu hunipa nafasi ya muda gani niisome na niijibu au la, kama nipo nyumbani simu huwa nazima labda wife akiwa hayupo ndio huwa nawasha kwa ajili yake (Nadhani nina ugonjwa wa kuogopa simu)
Nilikuwa nimeishaanza kusema uongo kwa marafiki wanaonitafuta kwenye simu, asante wachangiaji!
 
Huo ugonjwa na Mimi ninao.
 
Me ilinikuta natoka iringa naenda mbeya sasa wachumba zangu kama wanne ivi wapo mbeya sasa nimwambie nani nimwache nani....nkamwambia mmoja wengine wote sikuwaambia kama nipo mbeya sasa ile naenda meet na mchuchu heee c nikaonwa bhana na mchuchu mwengine akanipigia cm nkapokea anaongea vzuri tu kumbe ananichora bhana tumeongea ananiuliza zauko iringa me namjibu safi tu baridi balaaa kumbe nipo mamajohn akaniambia mbona nimekuona mamajohn au sio wewe....umevaaa ivi na ivi nkasema ndo mm hahahaha akaishia tu kusema aya bhana...mpka Leo kimya ndo tukaachanaga kiivo

am better here
 
Siku zote waongo utawajua tu,huwa wanamaneno mengi na si waaminifu,hujifanya busy hasa ukuhitajika mchango wake sehemu,nimekaa na sampuli za namna hiyo,
Uzuri wangu najari mambo yangu nasipendi kusumbua wenzangu ,kama sina kitu nacheki movie ndani,kama ninachangu naenda kupata moja moto moja vuguvugu baaasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa wakunyum
ilinikuta ijumaa ya wiki iliyopita tar 12/04/2019,alhamis yake nilikuwa Dodoma had saa mbili usku na mchumba wangu alikuwa analijua hilo maana nlienda kuonana na dada alikuwa na tatizo,mchumba wangu akiwa anajua kabisa niko dodoma na kesho yake (ijumaa yenyewe) ilikuwa niende kw mchumba wangu huko kiomboi-iramba,,,, usku huohuo nikapigiwa sim nyumban (bariadi) kuna shida very serious, basi bhn ikabid niamshe usku huo had bariadi bila kumtaarifu mchumba wangu ili nilkuwa sijafuta mpango wa kwenda iramba hyo ijumaa,nilifika bariad saa kumi na moja alfajiri, tukakaa Tukaweka sawa lile tatzo nikaanza utaratb wa kuelekea kiramba mda huohuo,sasa bhn mchumba wangu alikuwa anapiga sim muda wote kutaka kujua naendeleaje maana tuliisubir kw Ham sana hii siku ya kuonana kwetu,sim yangu ilipata shida nikaazma ya Dogo flan nikaongea nae nkamwambia ndo nataka nianze safar ya kuja kutokea Dodoma, bhanabhana nikiwa njiani nakarbia tinde akaniuliza luv umefika wapi nkamjib njia Panda ya itigi kumbe midamida aliipigia sim ya dogo akaambiwa amewasha gari saa kumi na moja akaondoka huku bariadi,akili yake ilipata moto,had ninafika tukabaki tunacheka tuu na nilipomwbia ukwel tulifrahi sana,hadi naandika post hii nipo iramba napunguza stress,,wanangu songea (ruhuwiko 411KJ)nmewamiss sana,ijumaa Wiki hii nakuja
ba
 
Bariadi sehemu gani mie marambo kwa sasa niko songea lizaboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mie bana kuna mdau alinipigia kuhusu kunikumbushia mchango wa wa harusi yake!
Afu pesa nilikuwa nayo ila sijui nn kilinipata nikaamua kumuongopea kuwa niko Mwanza ntarudi kesho yake so akipata mda apitie mchango na tubadilishane mawazo kumbe mda huo niko zangu pale container mtaa wa chato maeneo ya Morocco nakula biere! Duh kumbe mshikaji nae ndo anakuja kula pale pale mara paaap huyu hapa! Tena yuko na mchumbaake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiko kitu kimenifanya nikiwa maeneo public nakuwa mwepesi kupokea simu ili isije ikawa naonwa. ingawa sipendi simu napenda kutext. kuna siku mwaka 2015 mwishoni nimetoka nimeenda lunch date pale brakepoint tumekaa tunakula sasa kumbe ex alikuwa meza ya karibu sijamuona. simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni yeye anapiga nikamute ikaita tena nikaifunika yule kaka akaniuliza simu yako mbona hupokei nikamwambia ni mtu tu anasumbua. tukaendelea na story ikaingia text sikuifungua sijakaa sana nashangaa mtu huyo mezani kwetu "na nakupigia simu nakutext hujibu poa bwana nikuache uenjoy" akaondoka huyu kaka niliekuwa naye akawa kama amekasirika tuliovoagana ikawa ndo kwaheri. 😔
 
Me ilinikuta natoka iringa naenda mbeya sasa wachumba zangu kama wanne ivi wapo mbeya sasa nimwambie nani nimwache nani....nkamwambia mmoja wengine wote sikuwaambia kama nipo mbeya sasa ile naenda meet na mchuchu heee c nikaonwa bhana na mchuchu mwengine akanipigia cm nkapokea anaongea vzuri tu kumbe ananichora bhana tumeongea ananiuliza zauko iringa me namjibu safi tu baridi balaaa kumbe nipo mamajohn akaniambia mbona nimekuona mamajohn au sio wewe....umevaaa ivi na ivi nkasema ndo mm hahahaha akaishia tu kusema aya bhana...mpka Leo kimya ndo tukaachanaga kiivo

am better here
mamJohn hueleweki wewe
 
hiko kitu kimenifanya nikiwa maeneo public nakuwa mwepesi kupokea simu ili isije ikawa naonwa. ingawa sipendi simu napenda kutext. kuna siku mwaka 2015 mwishoni nimetoka nimeenda lunch date pale brakepoint tumekaa tunakula sasa kumbe ex alikuwa meza ya karibu sijamuona. simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni yeye anapiga nikamute ikaita tena nikaifunika yule kaka akaniuliza simu yako mbona hupokei nikamwambia ni mtu tu anasumbua. tukaendelea na story ikaingia text sikuifungua sijakaa sana nashangaa mtu huyo mezani kwetu "na nakupigia simu nakutext hujibu poa bwana nikuache uenjoy" akaondoka huyu kaka niliekuwa naye akawa kama amekasirika tuliovoagana ikawa ndo kwaheri.
Wewe inaonekana unamwanaume zaidi ya mmoja,uongoo?,usibishe nakujuaa wewe
 
Mi ilinitokea juzi juzi,,,nipo geto jamaa kaja kunitembelea bhana....sasa kabla hajafika mlangoni akasimama dirishani kwangu nakunipigia simu...

Yeye:: Hallo vp mwanangu....uko wapi.
Mimi:: Aah mwanangu bado sijarudi toka kazini nipo hapa nimechoka kinoma.

Jamaa akanambia "" basi bhana nlitaka kuja geto kwako,,,
Nikamwambia "sipo" afu nikakata simu huku nikijisemea kwa sauti """ kwenda zako huko, kwako hapakaliki!!?? Afu nikasonyaaa......

Kumbe jamaa yupo dirishani ananisikia....
Daaaah ghafla nikashangaa dirisha la aluminium sasa kile kipande cha wavu kinaburuzwa twaaaaaaa.........daaaah mshkaji nikagongana uso kwa uso huku nikiwa nimejilaza tu kitandani....

Nilipata tabu sana kumuweka sawa jamaa....alichukia sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Two weeks ago kuna mzee alikuwa na kibinti kwenye makuti moja mitaa ya Sinza, kumbe kuna mtu anayemfahamu anamwona kupitia dirisha la nyumba jirani, akampiga picha na kuituma kwa mke wa huyo mzee, mke akampigia simu mzee kuuliza kama ameshafika kwenye kikao cha arusi kilichokuwa kinaendelea Kibaha, yeye akajibu ndiyo yupo kikaoni, mke akamtumia mzee picha akiwa na kibinti, mzee aliruka kama kapigwa shoti ya umeme akamwambia binti ondoka kuna mtu ameturekodi kwa siri na binti naye mbio
Hii safi sana
 
Back
Top Bottom