Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,315
- 6,845
Qui a dit que tu étais plus calme?
Qui a dit que tu étais plus calme?
Je suit e tudiant a lecole de secondaire dazania ausii,Nilisoma AZANIA ,,nilikikataa kifaransa,,matokeo YAKE nilikwenda France. Kwa bahati mbaya nilikaa jela,,huko ndipo nilipojuwa kifaransa cha kuongea,,, na kuandika kidogo ,ila huniteti chochote...bila kujuwa kifaransa MAISHA yalikuwa magumu mno...baada ya miezi 6 nikaanza PARLE BIEN...hadi sasa nipo bongo natamani nipate wa kuongea nae nisije nikasahau lugha,,,..JE PARLE TRES BIEN....
Sent using Jamii Forums mobile app
Guten morgen. Und wie geht es dir?Gutte morgen??
Hiyo lugha naifahamu maneno machache sana mkuu, as i grew up kwenye familia ambayo wazee walikuwa fluent kwenye hiyo lugha, wakitaka kukujadili ukiwa nao, wanaswitch tu huko halafu baada ya mjadala wanarudi kwenye ile tuliyozoea, so kwa hasira nikaamua na mimi ni pambane na French.Guten morgen. Und wie geht es dir?
Hiyo lugha naifahamu maneno machache sana mkuu, as i grew up kwenye familia ambayo wazee walikuwa fluent kwenye hiyo lugha, wakitaka kukujadili ukiwa nao, wanaswitch tu huko halafu baada ya mjadala wanarudi kwenye ile tuliyozoea, so kwa hasira nikaamua na mimi ni pambane na French.
Pambana mkuu, nadhani pale Goethe Institute wanafundisha lugha kama nitakua sijakosea, mimi napambana na French mkuu.
Upo Vizuri!!Nikijifunza YouTube nitaeeza?
Nina mavideo kibao nimedownload ya kujifunza french na vitabu
Chuo nilisomaga Ila nikaambulia sup tu!!Upo Vizuri!!