Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Mimi nimewahi kufundisha shule fulani private. Mkuu wa shule alikuwa na mambo ya kiwaki kisenge.

Sometimes, anaweza kukufokea hata mbele ya wanafunzi.

Ikifikia tarehe za mishahara basi ndio kufoka nje nje. Nyumba niliyokuwa nimepewa ilikuwa karibu na ya kwake, so, sometimes washkaji wakija gheto mkawa mnaongea kwa nguvu mnabishana mnacheka, anawaibukia anafoka Walimuu mnapiga kelele kama watoto wa primary

Nikawa najisemea tu huyu dawa yake iko jikoni.

Kuna wakati tunakaribia kuchukua mshahara, mwisho wa mwezi akawa anafoka, ooh kama hujaandika scheme of work na lesson plans sikulipi mshahara (walimu wanaijua hii midude.

Basi nikajipinda nikaandika hayo ma-scheme of works ( plan ya miezi 6 ) na lesson plans, nilivyomaliza nikampelekea.

Akasema poa, nenda kwa Accountant akupe mshahara wako. Nilivyolipwa tu, nitatafuta muda huyo mkuu wa shule hayupo, nikaiingia ofisini kwake nikayaiba hayo scheme of works nikaenda nikayachoma moto halafu nikaacha kazi, nikasepa. Ilikuwa 2013 hiyo.

Kiukweli mimi kuvumilia dharau nilishashindwa kabisa. Siwezi.

Mimi chuoni nimewahi kumfuata Lecturer ( HoD ) ofisini kwake nikamtukana. Alikuwa ananisumbua sana.

Mimi probably nitakuja kumnyenyekea mtu nikiwa na watoto 6, mmoja ana ugonjwa wa kudumu, nadaiwa kodi ya nyumba, mama ana matatizo.

Hapo nitajitahidi kunyenyekea. Kwasasa nitakuwa muongo. Sitaweza.
Aiseee mm ualimu Niliona tu nitakuja pata kesi dhidi ya jamhuri nikaachana nao....kufokewa mtoto wa kiume siwezi vumilia,.......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kazi yangu ya kwanza nili resign mwenyewe ,kazi ya pili nilifutwa kbsaa ,kazi ya tatu nikapipgwa redundant ,kazi ya nne nikafutwa kazi ya tano retrenchment kazi ya saba wala siajaga nilijiondokee tu mwenyewe kwa mchinaaa
Maisha ya kufutwa kazi zlnimeshazoea haswaa
 
sababu ya kufukuzwa ndani ya siku 6 ni nini Mkuunacheka kama mazuri vile
Amna sababu mkuu.asubui kuna utaratibu wa kwenda kuwasalimia wahindi ofisin wabongo wote muhnd anaitwa happy akaniambia asant kwa kaz yako wakanipa elf 60 hela ya overtime ikawa imeisha.
 
Kazi yangu ya kwanza nili resign mwenyewe ,kazi ya pili nilifutwa kbsaa ,kazi ya tatu nikapipgwa redundant ,kazi ya nne nikafutwa kazi ya tano retrenchment kazi ya saba wala siajaga nilijiondokee tu mwenyewe kwa mchinaaa
Maisha ya kufutwa kazi zlnimeshazoea haswaa
hiyo RETRENCHMENT itakuwa ulikuwa kwa wale wahuni wa MOBISOL Arusha,wao kazi yao ni ku-retrench wafanyakazi na kuajiri wapya kila siku wakati biashara yenyewe ya Sola haina mbele wala nyuma,ndio maana wanaibiwa kila siku
 
Back
Top Bottom