Tuliowahi kudate na waume za watu tukutane hapa tusimuliane visa tulivyowahi kukutana navyo

Tulikuwa restaurant fulani tunapata lunch akakwama na nyama, ikawa kazi ya kumpiga mangumi mgongoni nikisaidiana na wahudumu hadi ikachomoka. Tangu siku hiyo nikasema kiranga koma!!!
 
Ninadate nae mmoja ni mtamu sana bado nipo nae. Siku moja mke wake kakuta sms za mme wake akinisihi nizae ndio aende kwetu alisara alinipigia simu Kama zote.
 
Sidhani kama kuna mwanamke hajawahi walau kutembea na mme wa mtu hadi alipofikia miaka 30. kati ya 100, walio 80% watanasa mtego. kwasababu asilimia kubwa yetu sisi tulio kwenye ndoa tunatembea na wanawake ambao hawajaolewa. many of them (speaking of my past).
 
1.nipo naye hadi sasa kazee halafu kamechoka maisha .
2.hawana faida hata nikukaa tu mwenyewe ndio sitaki
Vijana wanachosha wanasex nawewe kama hiyo siku harudi tena kwenye hiyo K mwisho wasiku hana hata hela ya mafuta.
Wakazi gani .
Hakuna mtu anang'ang'ana na mume wamtu kwa maana akipata atakacho wanaachwagwa
 
vitoto vyenyewe vinapenda walioko kwenye ndoa, hadi wafike 30 wameshaiba ndoa za wenzao wengi, wao wakiolewa wakaibiwa mume wanasikitika kwelikweli.
 
Back
Top Bottom