Tuliowahi kuachwa hebu tujikumbushe ni staili gani ulitumia kumsahau EX wako

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Hebu tujikumbushie ni staili gani ulitumia kumsahau EX wako mimi upande wangu

Mi baada ya kuona kumove on siwezi niliamua kutafuta jimama la kunilea maeneo ya Tandika kwa wagwayaaaa nilihamia kwake nikaishi miezi Tisa kwa jinsi lilivyokuwa lina keep bizee nikajiona nimesahu kama niliwahi kuwa Demu akaniacha
 
Vijana mnawaza mapenzi kuliko kazi why ... Leo uzi wa mapenz umetawala sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom