Tuliowahi kuacha kabla hatujaachwa hebu tukumbushane ni mbinu gani ulitumia kumuacha mpenzi wako

Mimi niliachwa ghafla miezi mitatu sai imeisha. Baada ya miaka 8 ya upendo. Kweli si rahisi kuumizwa moyo na kuvumilia kma ningekua dhaifu kweli ningekua nishajiua kitambo. Ila maombi sana inaniuma mpka ina ni affect kazini na maisha yangu mapya. Najiuliza maswali kila siku sipati jibu. Nikidhan ataregea.
 
pole mkuu ilikuaje kwan
 
Mimi upande wangu nilivyoona nilienae anakaribia kuniacha ili nisiumie sana nilivyoona hapa tumefikia pabaya Nikagundua hawezi kubadilika.

Nilipunguza mawasiliano taratibu.

Nilivyoona nimefika stage roho na nafsi yangu vina Amani.

Nilikata mawasiliano

Wewe je?
Dah, me baada ya kuchokananae tuu nikamwambia naona mimi sina hadhi ya kuwa na wewe, yaan wewe unastahili kuolewa na mtu anayeweza kukutunza vizuri na kukupa mahitaji yote yale unataka ila sio mimi.
 
Kweli Mungu anisamee tu nahisi had kuna kalaana kameanza kunitafuna maan mpaka tangu nimemvuruga huyu Dada mahusiano yangu hayajawah kutulia mpaka sasa two years lakin I get nothing in relationship mpak sijui nirud nikamwombe msamaha labda mambo yang yatanyooka 😭😭😭
Ukishamuumiza mwanamke sorry means northing. Unless unaenda kumuoa.
 
Huyu Dada mm namjua nje ndani, huwa mwepesi sana wa kusamehe na hanaga kinyongo akisamehe atakupenda tena na huwa halipi visasi, nikimkosea atalia sana ila machozi yakishamtoka tu basi na hasira humwishaga, ila nikishamkosea alafu asilie najua hapa kazi bado ipo (anakuwa bado na hasira asipolia), mimi kwenda kumwomba msamaha kwa sasa siyo shida naweza kabisa ila sasa shida yake inakuwaga moja kwamba, akikusamee anataka muendelee kuwa wote tena (yaani mrudi kwenye mahusiano) sasa mm hicho ktu kwangu ni kigumu sana, unajua kuwa kwenye mahusiano na mtu ambae nafsi na moyo havijamridhia hayo mahusiano huwa hayana mwisho mwema kama ilivyonitokea, ila kama ingekuwa kuomba tu msamaha tu anisemee then kila mtu aendelee na maisha yake Mbona ningeeda mlamba hadi miguu anisamee na angekuwa rafiki yangu mwema wa maisha Daima 🙂🙂🙂
Nakupa onyo. Mm ni mwanamke i know how she feels, usiende kumuomba msamaha. Indirectily unaenda kumsimanga coz humpendi. Tulia na huyo unaempenda..hakuna mwanamke anaesamehe ujinga kama wako.. kinachokutesa nini kama mungu kakupa mke roho yako inataka. Tulia nae mwache mdada wa watu.

Kama kweli Mungu anaonaga machozi ya wa mwanamke natamani akupe adhabu milele.

Ulikuwa ukijua humpendi kwa nini uliingia nae mahusiano? Ungemkataa mwanzoni asinge umia umeniboa sana wewe kiumbe.

Nakuombea huyo ulompata akutibuwe ndoa uione chungu. Uombe taraka mwenyewe. Akuvuruge, asiwaheshimu wazazi wako wala ndugu. Achepuke hadi kwa rafiki zako, boss wako hadi majirani. Azae na x wake.
 
hizo laana sema taratibu basi watu wasisikie nyinyi wanawake mnayofufanyia hamuyaon
 
Soma comments za nilie mjibu. Uone ni maumivu gani alimwachia mdada wa watu. Acha tu watu wasikie mpaka naandika nilitaka wasikie. Maumivu yake natatambua
 
Nakupa onyo. Mm ni mwanamke i know how she feels, usiende kumuomba msamaha. Indirectily unaenda kumsimanga coz humpendi. Tulia na huyo unaempenda..hakuna mwanamke anaesamehe ujinga kama wako.. kinachokutesa nini kama mungu kakupa mke roho yako inataka. Tulia nae mwache mdada wa watu.

Kama kweli Mungu anaonaga machozi ya wa mwanamke natamani akupe adhabu milele.

Ulikuwa ukijua humpendi kwa nini uliingia nae mahusiano? Ungemkataa mwanzoni asinge umia umeniboa sana wewe kiumbe.

Nakuombea huyo ulompata akutibuwe ndoa uione chungu. Uombe taraka mwenyewe. Akuvuruge, asiwaheshimu wazazi wako wala ndugu. Achepuke hadi kwa rafiki zako, boss wako hadi majirani. Azae na x wake.
😁😁😁 ushindwe na malaana yako yasinipate.
Cha kufurahisha zaidi tusharudiana,alinitafta week mbili zilizopita akaanza kulia na kunambia mimi ni mwanaume pekee ambae ananipenda hapa duniani na kaenda mbali zaidi akisema haoni thamani ya maisha yake hapa duniani bila mimi kuwa nae.
Na kasema hata kama simpendi basi anaomba azae tu na mimi.
Na mimi kwa sababu ya huruma ya maneno yake nikamwambia kuwa kuanzia sasa nitakupenda wewe peke yako na nitakuoa na kuishi na wewe pia.
Akafurahi sana kwa hiyo mimi sasahivi na binti wa watu tutawatangazia ndoa hivi karibuni baada ya uchaguzi.
Hata kama simpendi acha nimuoe hivo hivo kumridhisha nafsi yake labda nitampenda mbele ya safari.
 
Bora unaenda kumuoa tofauti na hspo hii laana usingeikwepa.
 
Soma comments za nilie mjibu. Uone ni maumivu gani alimwachia mdada wa watu. Acha tu watu wasikie mpaka naandika nilitaka wasikie. Maumivu yake natatambua
saw lkn huyo aliyiumizwa hawezi apiza namna hiyo yaan unaomba Mungu ampe azabu ya milele kweli km ameondoka nayo kumbe mtu anaweza pata mwingine na maisha yakaendelea

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom