Tuliounguza account za Forex trading

ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.


[TERMS AND CONDITIONS LINKED]


Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....


Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.


(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)


ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.



HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:


Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus



2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

Menu > MyTemplerFX> Verifications


3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok


4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:


NDB30JN42017


Then submit.


5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.


6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:


https://play.google.com/store/apps/details?id=net.metaquotes.metatrader4


Start Trading!!

TRADE SAFELY!



Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox




Terms And Conditions hapa:


TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
 
sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
 
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalum
 
na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalum
Soma 6.5. Ni $100 tu max.
Screenshot_20180421-102947.jpg
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
hebu nipe njia kamili ya ku deposit, na huwa inachukua mda gani
Menu > finance > deposit then utajaza kama picha hapo... 5 ni amount ya mfano.. Ukibinya deposit, utafuata hatua zinazofuata... Huchukua kuanzia dk5 hv, kuona balance kwa akaunt. Binafsi haijawah kuzidi 30mins cjaona balance.
Screenshot_20180424-233124~2.jpg
 
mkuu amefika kwenye sehemu ya deposit select account to fund account haionekani na account amefungua kama picha inavyo onekana hapo chini.

maana hiyo live unisfx ni ile ya bonus alio fungua sasa sijui ndo live nyenyewe au ana takiwa afungue nyingine

View attachment 756073
Huwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifund
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Hapa, ni hatari!
I hope I'll get to use this broker...

View attachment 758113View attachment 758114
 
Forex..sio mchezo inahitaji juhudi na tricks za hatari..inatakiwa ukae hata 6months..unamaster tricks!
 
Back
Top Bottom