ofisi zake ziko maeneo gani hapa tz?Thank for sharing,! Kwa wale wanaohangaika juu ya broker , nawashauri wamtumie broker Templer FX Trader huyu ni broker Wa UK ana ofisi zake hapa Tanzania , ni kati ya brokers wachache ambao hawana kamisheni , ni broker ambaye ni rahisi sana kufungua akaunti , anahitaji kitambulisho kimojawapo kati ya cha uraia,kura, leseni au passport,.. Inachukua 24hours kupata akaunti yako.
Kikubwa kutoka kwake ambacho wengi wanampendea huyu broker ni njia rahis ya kuweka na kutoa Pesa yako , kupitia huduma ya Mpesa utaweza kufanya mihamala yako kirahisi ukiwa chumbani , huhitaji kwenda bank ,, mfano mm nimetrade BTCUSD usiku huu nimepata profit ya $70 nimeamua kuitoa sasa hivi kwa Mpesa , very easy yani.
Pia customers care yake ni nzuri , na km unachangamoto katika lugha ya malikia unatumia kiswahili na mnaelewana ... Kufungua akaunti ingia kwa website yao hii Templer FX Trader click Register or open an account , let me know ukikwama sehemu nitakusaidia .
FEW IMPORTANT LINKS:
FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz
FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP
FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books
FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX
FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals
TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader
PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker
TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker
FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex
HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):
FOREX VIDEO: THE SIGNS:
Walianza muda kidogo, then wanasema Dusupay ilipata shida katika system. Wamesitisha kwa muda.hiyo DUSUPAY Tickmill wameshaanza lini kuitumia?
Kama bado hujafanikiwa, check the templer link and dont use opera miniImeleta hivi mkuu kila nikijalib
So hushauri watu kufanya??Hakuna wapya waliounguza wapya? Inamana tz maguru ndo washakuwa walewale?
Nlipounguza waliniambiaga eti ndo naelekea kuwa guru!
Kutrade?So hushauri watu kufanya??
Naomba hii biashara inafanyajwe maana mi Nguni kabisaJisajili Templerfx upate dollars 30 bure. Ukisha kamilisha usajili omba hiyo 30 kabla ya kudeposit
Templer FX Trader