Tuliounguza account za Forex trading

Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.
Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
Tushirikishe
- Ulichojifunza
- Hatua gani umechukua

Ahsante

My Take
upload_2017-11-18_8-43-23.png


Kwa upande wangu Vitu vya kuzingatia ni hivi
1. Lot size iendane na mtaji wako.
2. Epuka pair zenye High Impact News kwa siku husika iwapo hutumii SL na umefungua postion nyingi kwa mtaji mdogo
3. Chukua Faida mapema kadri iwezekanavyo maana wakati wowote BLUE yaweza kuwa RED
 
Wee jamaa hua nakukubali sana ni moja ya mfano wa kuigwa kwangu kwa jinsi unavyokoti watu na kutoa ufafanuzi..
Naku Rate 5stars
Tushirikishe
- Ulichojifunza
- Hatua gani umechukua

Ahsante

My Take
View attachment 632696

Kwa upande wangu Vitu vya kuzingatia ni hivi
1. Lot size iendane na mtaji wako.
2. Epuka pair zenye High Impact News kwa siku husika iwapo hutumii SL na umefungua postion nyingi kwa mtaji mdogo
3. Chukua Faida mapema kadri iwezekanavyo maana wakati wowote BLUE yaweza kuwa RED
 
Tushirikishe
- Ulichojifunza
- Hatua gani umechukua

Ahsante

My Take
View attachment 632696

Kwa upande wangu Vitu vya kuzingatia ni hivi
1. Lot size iendane na mtaji wako.
2. Epuka pair zenye High Impact News kwa siku husika iwapo hutumii SL na umefungua postion nyingi kwa mtaji mdogo
3. Chukua Faida mapema kadri iwezekanavyo maana wakati wowote BLUE yaweza kuwa RED[/QUOTE

Nilicho jifunza kwanza uchaguzi wa time frame ni muhimu sana kulingana na mtaji wako short time frame kama 15min siyo rafiki kabisa kwa mitaji midogo, uvumilivu unahitajika hii sio ishu ya kulala maskini na kuamka tajiri hii inaturudisha kwenye lotsize iwe inaendena na mtaji wako, stoploss ni muhimu sana tena sana, na ukiona red zinafika kwa stoploss we kabuli matokeo habari ya kuvumu stoploss juu zaidi kwa hope kwamba market ita change direction hiyo haipo..cha mwisho linda kilicho chako mzaidi kuliko kutamani ambacho bado hauja kipata..
 
Nilicho jifunza
  • Kwanza uchaguzi wa time frame ni muhimu sana kulingana na mtaji wako short time frame kama 15min siyo rafiki kabisa kwa mitaji midogo,
  • Uvumilivu unahitajika hii sio ishu ya kulala maskini na kuamka tajiri hii inaturudisha kwenye lotsize iwe inaendena na mtaji wako,
  • Stoploss ni muhimu sana tena sana, na ukiona red zinafika kwa stoploss we kabuli matokeo habari ya kuvumu stoploss juu zaidi kwa hope kwamba market ita change direction hiyo haipo..
  • Cha mwisho linda kilicho chako mzaidi kuliko kutamani ambacho bado hauja kipata.
 
Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.

Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
-Tutaamini vp Kama unatutega?
-Ulienda course ya forex kwa Ontario mbona kila mkoa unamagroup ya what's up ya kushauriana?
-Leta picture za red screen hapa usipotoshe watu kumbe hujaingia forex Kula nondo.
 
Wakati naanza forex trading niliunguza zaidi ya account 8, nahisi zinafika account 12. Nimefika kipindi ambacho siwezi kuunguza account hata kama nikiwa na $10.

Namaanisha hata leo nikifilisika nitatafuta elfu 24,000 tu ambayo ni $10, nitaikuza kufika $100, hiyo nayo nitaikuza hadi $1000. Nikifika $1000 nina uwezo zaidi ya asilimia 100 kuingiza mshahara wa madaktari wa5 kwa kila mwezi.

Kama umeunguza account jua upo kwenye hatua ya kuimarika hasa kisaikolojia. Nina mwanafunzi wangu, kamaliza CPA juzi kati alianza na $100 akaifikisha $400. Then akacheza michezo ya kishamba akaunguza account yake yote. Akaifund upya kwa $100, leo ninavyozungumza ana account ya $3000 chini ya mwezi mmoja. Thats the power of forex!!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom