Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

wadada wa chuo wanapenda sana out goin na vi ofa... ili usitoke clean sheet usiwe mbahili... kama una vihela vya kizushi tu papuch anakuzawadia na ndoa anakulazimisha
 
Duh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii
Ngoja nipambane na Memkwa namimi nifike huko
 
Back then akanidump....nikakubali kibuti. Ila nasikia kuna kibabu cha kizungu ndo kinammiliki kwa sasa na wapo huko nchi moja ya Asia.
Yaaan Mapenz hayaa ya sasa Chapaa tuu ndo anatulzaa mtoto ila kama azpo ukiambiwa kuna true love hapo doubt labda ikute kwao zipoo
 
dah!! cleansheet nilijua hujapiga sup hata moja!! KUMBE kutoka bila demu!! haahaaahaaa...
 
Niliwahi kaa na mdau wa COET naleta mademu wengi room nikizani mdau ata jiongeza wapi mara wamuombe PC wachek ila kijana alikuwa mzito mno then cleenshit ilimuhusu
 
Niliwahi kaa na mdau wa COET naleta mademu wengi room nikizani mdau ata jiongeza wapi mara wamuombe PC wachek ila kijana alikuwa mzito mno then cleenshit ilimuhusu
CoET wengi wazembe tu
Utakuta wamekomaa na shule kinyama mwisho wa siku saivi tuko kitaa tunaganga wote tu.

Unakuta msela hataki demu anawaza course work tu
Maisha ni zaidi ya course work
 
Aseh ni kweli kabisa, wanawake wenye nyodo ni rahisi kuwapata..... wanauke weng wanawaogopa wanawake warembo, anayepeleka mstari anabeba mzgo chapu

Back
Top Bottom