Tuliotoka jkt kwa mujibu wa sheria 2021 OP SAMIA SULUH HASAN uzi wetu huu

Kipempe

Member
Sep 22, 2021
17
5
Nawasalimu kwa jina LA JMT
Kama ilivyo kawaida kwa nchi yetu. ya Tanzania baada ya kumaliza kidato cha sits wahitimu hao wakike na wakiume hutakiwa kwenda kujifunza mafunzo mbalimbali yanayofahamika kama mafunzo ya JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA,

Kama kawaida mwishoni mwa mwezi wa tano, mkuu wa jeshi la kujenga Taiga Meja General Rajabu mabele alitangaza majina ya waliochaguliwa pamoja na kambi zao,
Vijana kwa mbwembwe wengine kwa huzuni kubwa tukaripoti kambi tofauti tofauti kama vile Mlale Kanembwa Bulombora Rwamkoma Kibiti Nachingwea Mtabila Mgambo Oljoro Ruya Mpwapwa Mafinga Makutopora Ruvu na kambi zingine zinazokamilisha kambi 19,

Binafsi nilipangiwa 832kj Ruvu
Combania Bravo, Platun namba 2 section namba3 Bila kusahau K.O

Binafsi sitosahau Luna siku nilidoji michikichini( watu wa A,B,C coy) wanapajua then nikalala, ile nafungua macho naona kitaambaa chekundu chenye herufi mbili tu MP, daah Nakumbuka nilipigwa kama ndooo 30 za maji ya baridi saa12 asbh in roll , croll uchura na ubataubata kama vyote nachokumbuka sikufoleni msosi Sikh tatu kwa homa niliyopata, Pia nakumbuka niliibiwa simu yangu Infinix hot ten Usiku nikiwa nimelala, the day after nikakuta laini zangu kwenye kitanda na memo yenye kusema SORRY BRo,dah nilicheka sana,
All in all, tulimaliza salama jumla ya 25,000 huku 500 wakishindwa kumaliza na kifo 1

Wanangu wa kambi zingine tupeane uzoefu kipi ulipitia ambacho hutasahau
 
Ruvu ya saivi sio ya enzi hizo. Umkute MP Ndomba, umkute Pilato, Capt. Boko, Meja Msila etc. Ilikua moto sana, all in all wazee wa kwa dosa tulidumu kama kawaida na mama hidaya wetu tukienda kunywa white (gongo) na kuvuta ndete. Au kutorokea njia ya vibwende usiku mnaenda kwenye kigodoro kilangalanga huko
 
Nawasalimu kwa jina LA JMT
Kama ilivyo kawaida kwa nchi yetu. ya Tanzania baada ya kumaliza kidato cha sits wahitimu hao wakike na wakiume hutakiwa kwenda kujifunza mafunzo mbalimbali yanayofahamika kama mafunzo ya JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA,

Kama kawaida mwishoni mwa mwezi wa tano, mkuu wa jeshi la kujenga Taiga Meja General Rajabu mabele alitangaza majina ya waliochaguliwa pamoja na kambi zao,
Vijana kwa mbwembwe wengine kwa huzuni kubwa tukaripoti kambi tofauti tofauti kama vile Mlale Kanembwa Bulombora Rwamkoma Kibiti Nachingwea Mtabila Mgambo Oljoro Ruya Mpwapwa Mafinga Makutopora Ruvu na kambi zingine zinazokamilisha kambi 19,

Binafsi nilipangiwa 832kj Ruvu
Combania Bravo, Platun namba 2 section namba3 Bila kusahau K.O

Binafsi sitosahau Luna siku nilidoji michikichini( watu wa A,B,C coy) wanapajua then nikalala, ile nafungua macho naona kitaambaa chekundu chenye herufi mbili tu MP, daah Nakumbuka nilipigwa kama ndooo 30 za maji ya baridi saa12 asbh in roll , croll uchura na ubataubata kama vyote nachokumbuka sikufoleni msosi Sikh tatu kwa homa niliyopata, Pia nakumbuka niliibiwa simu yangu Infinix hot ten Usiku nikiwa nimelala, the day after nikakuta laini zangu kwenye kitanda na memo yenye kusema SORRY BRo,dah nilicheka sana,
All in all, tulimaliza salama jumla ya 25,000 huku 500 wakishindwa kumaliza na kifo 1

Wanangu wa kambi zingine tupeane uzoefu kipi ulipitia ambacho hutasahau
Aisee hao wanaofariki na wako kwa mujibu wa sheria familia zao zinajisikiaje too sad
 
Inabidi nami nianzishe uzi wetu wa vikojozi.😝😝😝😝
 
Umeandika majina ya kurudi?

Kama hujaandika pole sana
 
Wale wa Kimbiji waje watuambie cpl Bageni, Sokomoko, George Masatu Kama wapo pale maana walituhenyesha op Kikwete mpaka nikakimbilia Kidagaa street now nalima mboga mboga kitaaa tu
 
Nilichaguliwa Kigoma kambi ya Mtabila, dah hatar tupu nakumbuka kuna siku tulilala hangani hatukwenda fatiki, ile tupo kwenye usingizi masikio yakasense mlio wa gari. Ile kusikilizia vizuri difenda imekuja uwanjani haijasimama wadau washaruka, nakumbuka alikuwa MP mmoja hatari anaitwa Mbeshi na dereva tunamwita Shona Tulia....
Tundu moja la dirisha tulipenya wanne wanne jamaa mmoja aliingia kwenye shimo la choo la futi 12 alivyokutwa akawaambia eti ana C. Hahahaa..
Ila yote kwa yote walikuja kwa nia nzuri tu kutuchukua tukahesabu Gwanda..

KicHwa bOX
 
Back
Top Bottom