Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Wadogo zangu,nendeni mtafute hela kitaa,sio mwendelee kujificha huko vyuoni,na manadharia yenu,degree,post graduate,masters,PhD,mpaka lini?
Piga pesa kwanza,then masters inakuwa tamu kuitafuta,unaenda kusoma masters,hata ka vitz huna,unapuyanga tu,mwishowe ukipata uteuzi,kama mwalimu wenu,kabudi,unahisi umefika peponi?umetolewa "shimoni"
...😂😂😂 ...naunga mkono hii hoja.
 
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
Vyuo vya kata Ni vipi?
 
Yani kwa wasio jua tu!
Mkuu, moja ya technical fault ambayo UDSM wamekuwa wakifanya ni pamoja na kujiona wao wanaweza na wako tofauti!

Halii hii imepelekea product za hapo kuwa na mawazo ya aina moja, lakini pia ndio hawa tunawaona sasa ivi wakishindwa ku perform katika nyanja mbalimbali! toka wizara, mpaka mashirika!

Hii ni kwakuwa, hawana mawazo mbadala zaidi ya kurithishana ignorance!

Huwezi ukamuacha graduate mwenye 1st class ya St John, eti ukamchukua graduate mwenye 3.6 wa UDSM, WHY??

Ndio mana sishangai kwa sasa UDOM akawa kileleni! ni swala la muda tu! na siku Serikali ikiamua kukiacha hata kidogo hicho chuo, mtashangaa wenyewe!

Naongea hii nikiwa mdau mkubwa sana, tena sana wa udsm!
 
udom yuko kileleni wapi?
 
Back
Top Bottom