Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Oct 27, 2018
424
427
Habari za mda huuu....
Poleni na changamoto za maisha..
Hususani kipindi hiki...
Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu nilikosa mkopo ilihali nilisoma government ila watu wa arts ndio shidaa.......

Aiiseee kufakinikiwa maisha sio mchezo mchezo kazi kubwa
Nilipokosa mkopo chuo baada ya kumaliza form six nilirudi kijijini kulima na kufanya mishemishe za hapa na pale my friend sio mchezo nilitaabika sana watu wa vijijini wanasema huyu na usomi wake yupo kijijini analima ila niliziba masikio aisee....
Mana kuishi na mama tuu wakati baba yupo kwingine mmetelekezwa sio mchezo kila nikikumbuka huwa naumia sana situation ya kipindi kile
Basi nilikua na nguo saba tuu kwenye begi maana suruali saba na mashati saba tuuu hapo.. viatu viwili tuuu. ..
Kipindi hicho masela wangu wapo dar full wiki end bata sana chumba sabufa kubwa.....
Mama yangu alikua ananitia moyo fanya kazi...
Nilikua
_Bahili
-Kupumzika jumapili tuuu
-niliacha matumizi yasiyo ya lazima kama club. pombe
-niliweka malengo
Sasa hivi namshukuru Mungu kwa mwezi naingiza million tano maximum mpaka saba na minimum mpaka tatu miaka yangu 24+
Na bado sijaoa ila japo sio milionea ila nimepiga hatua sana......

Njoo hapa share na wewe ulifanikiwa vipi
 
Hongera Mkuu,Kila kitu kinawezekana ukitia nia,tunashukuru kuzidi kututia Moyo.

Shamba mkuu kilimo
Mpunga
Mahindi
Ufuta

Ukipata faida unawekeza

Faida unaiwekeza wapi mkuu?kwenye biashara nyingine tofauti na kilimo au?

Pia mkuu kama hutojari unaweza kuelezea kidogo kuhusu kilimo cha mpunga na ufuta ni kilimo kipi chenye tija?

Kwa uzoefu wako tunaweza kupata mawili matatu hapa,kuhusu mtaji,gharama za kuendesha shamba na changamoto zake kwa ujumla,pia na maeneo na msimu upi ni mzuri wa kuingia shambani...asante
 
mkuu acha kujitoa kwenye kundi la mamilionea

"to be a millionaire you must atleast be able to own two milions"
 
Faida unaiwekeza wapi mkuu?kwenye biashara nyingine tofauti na kilimo au?

Pia mkuu kama hutojari unaweza kuelezea kidogo kuhusu kilimo cha mpunga na ufuta ni kilimo kipi chenye tija?

Kwa uzoefu wako tunaweza kupata mawili matatu hapa,kuhusu mtaji,gharama za kuendesha shamba na changamoto zake kwa ujumla,pia na maeneo na msimu upi ni mzuri wa kuingia shambani...asante
Unakuza biashara ya shamba
Na hata kununua mchele na kuuza mjini hata ukipata tender kwenye mashule ya private inalipa
 
Habari za mda huuu....
Poleni na changamoto za maisha..
Hususani kipindi hiki...
Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu nilikosa mkopo ilihali nilisoma government ila watu wa arts ndio shidaa.......

Aiiseee kufakinikiwa maisha sio mchezo mchezo kazi kubwa
Nilipokosa mkopo chuo baada ya kumaliza form six nilirudi kijijini kulima na kufanya mishemishe za hapa na pale my friend sio mchezo nilitaabika sana watu wa vijijini wanasema huyu na usomi wake yupo kijijini analima ila niliziba masikio aisee....
Mana kuishi na mama tuu wakati baba yupo kwingine mmetelekezwa sio mchezo kila nikikumbuka huwa naumia sana situation ya kipindi kile
Basi nilikua na nguo saba tuu kwenye begi maana suruali saba na mashati saba tuuu hapo.. viatu viwili tuuu. ..
Kipindi hicho masela wangu wapo dar full wiki end bata sana chumba sabufa kubwa.....
Mama yangu alikua ananitia moyo fanya kazi...
Nilikua
_Bahili
-Kupumzika jumapili tuuu
-niliacha matumizi yasiyo ya lazima kama club. pombe
-niliweka malengo
Sasa hivi namshukuru Mungu kwa mwezi naingiza million tano maximum mpaka saba na minimum mpaka tatu miaka yangu 24+
Na bado sijaoa ila japo sio milionea ila nimepiga hatua sana......

Njoo hapa share na wewe ulifanikiwa vipi
Hongera mkuu ni kumshukuru mungu kwa kila jambo. Mi mwenyw natamani nisingepita chuo ni kupoteza pesa tuu tunadaiwa mamilioni hatuna kaz.
 
Habari za mda huuu....
Poleni na changamoto za maisha..
Hususani kipindi hiki...
Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu nilikosa mkopo ilihali nilisoma government ila watu wa arts ndio shidaa.......

Aiiseee kufakinikiwa maisha sio mchezo mchezo kazi kubwa
Nilipokosa mkopo chuo baada ya kumaliza form six nilirudi kijijini kulima na kufanya mishemishe za hapa na pale my friend sio mchezo nilitaabika sana watu wa vijijini wanasema huyu na usomi wake yupo kijijini analima ila niliziba masikio aisee....
Mana kuishi na mama tuu wakati baba yupo kwingine mmetelekezwa sio mchezo kila nikikumbuka huwa naumia sana situation ya kipindi kile
Basi nilikua na nguo saba tuu kwenye begi maana suruali saba na mashati saba tuuu hapo.. viatu viwili tuuu. ..
Kipindi hicho masela wangu wapo dar full wiki end bata sana chumba sabufa kubwa.....
Mama yangu alikua ananitia moyo fanya kazi...
Nilikua
_Bahili
-Kupumzika jumapili tuuu
-niliacha matumizi yasiyo ya lazima kama club. pombe
-niliweka malengo
Sasa hivi namshukuru Mungu kwa mwezi naingiza million tano maximum mpaka saba na minimum mpaka tatu miaka yangu 24+
Na bado sijaoa ila japo sio milionea ila nimepiga hatua sana......

Njoo hapa share na wewe ulifanikiwa vipi
. PROBABLY ULIMALIZA FORM SIX 2016 !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom