Tuliotafuta CREDIT form four tukutane hapa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.

Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja

Mwaka wa pili nikakosa

mwaka wa tatu nikakosa

Mwaka nne nikapata moja

Na mwaka wa tano nikapata moja

Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.

Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.

KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.
 
Duh nafasi hizo sikuzipata, ila kufeli shule sio kufeli maisha
 
Hongera mie nilifanya 2001 ,sikupata niakaacha nikaenda kufanya course nyingine CBE kisha nikafanya Degree nilikwisha maliza na MBA plus CPA yangu.kwa ujumla sipendi kukumbuka matokeo ya form 4,maana nilitegemea kupata div 1 ikaja div 4 mika resit credit zikagoma home ndio palikuwa moto kila nitakalofanya mie ni mjinga..waliokuwa wakinisema na kuninyanyasa sasa hivi nawasaidia wengine umri ulikwisha watupa mkono.ila ndio maisha.Vijana wasikate tamaa hata kidogo.
 
Historia zetu zinafanana
 
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.

Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja

Mwaka wa pili nikakosa

mwaka wa tatu nikakosa

Mwaka nne nikapata moja

Na mwaka wa tano nikapata moja

Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.

Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.

KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.

Mkuu wewe ni fundi wa kuwafikisha kileleni wanawake tuu kitabu kimekupitia kushoto...
 
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.

Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja

Mwaka wa pili nikakosa

mwaka wa tatu nikakosa

Mwaka nne nikapata moja

Na mwaka wa tano nikapata moja

Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.

Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.

KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.
Mm nilimaliza 2014 Nina "B" Mengine ni E na F 2, nikalisiti mwaka 2015 lakini sikuwa serious nikakosa zote, 2016 nikarisiti tena nikapata Moja Kiswahili, 2017 sikuristi, 2018 nikuacha pia.. Sasa nataka mwakani nilisiti lakini masomo almost yote yaani Physics, Math, Geography, History, Civics, Literature,Biology, ili majibu yaje kwny Division, Sina pesa za kwenda kusoma center vitabu notes na App za android zenye notes kama Thl, Tumaini Library pia zina past papers nikomae mwnyw mwaka mmja nymbn na ninaposhndwa nawatafuta watu wa kunielekeza mfn physics na Math, Je, nitatoboa? Nitawez pata marks C kwny phyc na Math?
 
Umenikumbusha mbali sanaa katika mambo ambayo siwezi sahau ni historia yangu ya elimu kwa kifupi mwisho wa kuvaa uniform za shule ilikuwa darasa LA saba, baada ya hapo nilisoma kwa shidahh sanaa nisingependa kumlaumu mtu lakini kuna watu walichangia katika hili .1997 namaliza s/msingi iliyopo wilaya ya kinondoni jina LA shule (siri) 1980 naanda kujisajiri sekondari f1 jina (siri) nikasoma mwaka moja tu basi nikarudi kitaa kitaa kisingizio ada ya shule hakuna ilikuwa tunalipa kama 80,000 tu hivi kwa mwaka , hadi mwaka 2001 naenda veta chang'ombe kuanza trade test 3 fani ya ufundi umeme kwa mwaka wa pili nikafail practical nikarudia hadi nikamaliza trade test 1 ,nikarudi kitaa na cheti cha ufundi nikiwa fundi mzuri kabisa wa electrical installation nikaanza kuchapa kazi 2004 nikaomba kazi UDSM kama fundu umeme artisans technicians chaajabu wakaniondoa kwenye list kwakuwa sikuwa cheti cha F4 hapo ndipo machumgu yalipoaanzia nikaenda kujisajiri twishion za mtaani kwa ili nifanye mtihani kama PC kwa kuanzia na Qt 2005 nikafanya mtihani nikafaulu nikaendelea na tuishion 2006 nikafanya mtihani wa F4 nikafail masomo yote ila nikapa credit 2, kiswahili na civics hapo ni nilitumia miaka 2 tu kusoma kwa jasho na damu huku nafanya kazi zangu za ufundi,sikupoa mwaka uliofuata nikarisiti masomo matatu tu nikapata credit moja c- history hapo nikawa nimeagana na elimu ya f4 ,nikaendelea na advance nikachukua arts -HKL pure sikutaka shidahh 2008 nikafanya mtihani nikapa D3 nikafail English tu nikasema hapa inatosha ,nakaomba chuo pale ISW- 2009 ordinary diploma in Human resources nikachapa pale miaka 2 nikamaliza na second class ya Gpa (siri) ,zikatoka nafasi serikali za kawaida nikaomba mkoani Kule nikafanya powaa nikapita nikaanza kazi miaka miwili baadae nikaomba degree nikaanza pale mzumbe morogoro nikamaliza 2014 ,kazini nikapandishwa kacheo na kuwa HRO 2 nikasema ya tosha umri umeenda na familia imekuwa modogo wameanza shule ngoja nipumzike sasa nipo nangojea 25% ya kustafuu tu.KUKATAA TAMAA NI JAMBO BAYA SANAA NDUGU ZANGU MUNGU AWABARIKI MLIOPITIA MITIHANI KAMA YANGU
 
Mm nilimaliza 2014 Nina "B" Mengine ni E na F 2, nikalisiti mwaka 2015 lakini sikuwa serious nikakosa zote, 2016 nikarisiti tena nikapata Moja Kiswahili, 2017 sikuristi, 2018 nikuacha pia.. Sasa nataka mwakani nilisiti lakini masomo almost yote yaani Physics, Math, Geography, History, Civics, Literature,Biology, ili majibu yaje kwny Division, Sina pesa za kwenda kusoma center vitabu notes na App za android zenye notes kama Thl, Tumaini Library pia zina past papers nikomae mwnyw mwaka mmja nymbn na ninaposhndwa nawatafuta watu wa kunielekeza mfn physics na Math, Je, nitatoboa? Nitawez pata marks C kwny phyc na Math?
it's possible mkuu sema tu uwe focused sana..pia uwe unapata muda wa kupumzika na kuwaza maisha yako itakusaidia kuongeza struggle
 
pole sana shida yote ya nini? huko ndiko tunaita kukalili maisha

kwani ni lazima usome A level

hyo miaka mitano ungekuwa upo second yr degree yako ya kwanza kama ungeanza na certificate baada ya kukosa credit form 4

mwaka 1- basic technician cirtificate

mwaka 2&3-ordinaly diploma

mwaka 4-6 -bachelor degree

katika vitu ambavyo siwezi kumshauri mtu ni kurisiti (kutafuta credit) kama ana sifa za kuacha cheti ni bora aende chuo tu....

lakini nakupongeza kwa kuwa na moyo wa kupambana na pia kwa hatua uliyofikia sasa
 
Hongera kwa kua na moyo wa uvumilivu kias chote hicho

Back
Top Bottom