BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,801
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.
Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja
Mwaka wa pili nikakosa
mwaka wa tatu nikakosa
Mwaka nne nikapata moja
Na mwaka wa tano nikapata moja
Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.
Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.
KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.