Tuliosoma primary na Secondary School miaka ya 80-90 tuna visa vingi vya vya kusimulia

Hadi advance anakojoa

Ni wa kike pia?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yupo mmoja kaoona mwaka jana akiwa mwaka wa 3 chuo Hilo tatizo husababishwa na :-
1 Saikolojia
(UVIVU WA MZAZI) KUTO MBADILISHA MTOTO NGUO MARA TU ANAPO KOJOA
Fikiri kwa miaka mi 5 yote mtoto analala na KOJO usiku mzima na mchana atakaa nalo masaa kadhaa kabla haja badilishwa
Hali hii hupelekea ubongo kuzoea ubichibichi muda wote
2. UGONJWA
 
Back
Top Bottom