Tuliosoma Lyamungo miaka ya 2000 njooni tupeane mawili matatu ya mwanafunzi mwenzetu Ben Saanane

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,897
2,000
Kwa wale waliosoma lyamungo sekondari moshi, miaka ya 2000 jamaa kwa wakati uwo alijiita Ben Focus saa nane
hakuonyesha kama ni mwanasiasa kabisa
- huyu jamaa sikumbuki alika agrey, lumumba au shabani
- kwa sasa nasikia kapotea
karibu kwa mjadala
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,689
2,000
Hii nayo ni ya kuanzishia thread.. Come on kaka kuwaga serious... Hamna hata ma whatsapp group mjadili
 

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,897
2,000
Hii nayo ni ya kuanzishia thread.. Come on kaka kuwaga serious... Hamna hata ma whatsapp group mjadili
ndege john ana shingo ndefu ila yako fupi
sii tupo na huzuni wee unaleta akili fupi apa!!! wengine apa ni classmate na schoolmate 4years alafu kapotea, wee unaleta domo domo apa
pita kando kama huusiki au huitaki
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,689
2,000
ndege john ana shingo ndefu ila yako fupi
sii tupo na huzuni wee unaleta akili fupi apa!!! wengine apa ni classmate na schoolmate 4years alafu kapotea, wee unaleta domo domo apa
pita kando kama huusiki au huitaki
Basi sawa.. Wasubiri
 

Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,017
2,000
Ila ile mbege pale kwa urassa ilikuwa kali,nilisahau begi langu hapo baada ya kupiga vitochi viwili tu,ila baadaye mwalimu wangu wa nidhamu aliniletea la kwake akabaki na la kwangu,baadaye nikamrudishia,nilamwambia mwalimu nimeokota begi lako mahali,akalipokea kisha akaniambia " hata mimi kuna begi naliona hapa sijui hata ni la nani?" Nikalicheki nikamwambia ni langu,akasema basi poa.
 

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,272
2,000
Walio shughulika na saa 8 wana majuto sana mda huu.
Laana zinawashika hadi watoto wao na wajukuu kisa kumpoteza Mtanzania muungwana kijana mwanasiasa.
 

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
4,570
2,000
Achani kujisikitisha, mtu tayari alishatuacha, mmebaki kukumbushia tu kila mara,,,,manabii wa Mwenyezi Mungu wameondoka na ndio manabii hao sembuse sisi, saa9 and azori!! Mwishoe mtakufuru sasa.


Inajulikana kuuwa ni haram,

وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَن قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِف فِّي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنصُورًا
(17:33) (9) Do not kill any soul whose killing has been forbidden by Allah *33except by right *34 : and if one is killed unjustly We have granted the right of retribution to his guardian. *35 So he should not transgress the limits in retaliation, *36 for he shall be helped. *37
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom