Tuliosema Rais Magufuli ana nguvu ya soda bado tunaendelea kuamini hivyo?

SPACED

Senior Member
Jun 7, 2016
137
132
Siku 100 za kutathimini mwelekeo wa utawala wa awamu ya tano zimeshapita, mwelekeo wa uendeshaji wa siasa zetu na utendaji wa utumishi serikalini kwa sasa uko bayani kwetu. Je, bado nguvu hii inaonekana ni ya soda?

Hoja ya udikteta nayo inaonekana sasa kuzoeleka na kukosa nguvu katika jamii, Je, nguvu ya soda imebaki eneo lipi la kiuongozi?
 
Siku 100 za kutathimini mwelekeo wa utawala wa awamu ya tano zimeshapita, mwelekeo wa uendeshaji wa siasa zetu na utendaji wa utumishi serikalini kwa sasa uko bayani kwetu. Je, bado nguvu hii inaonekana ni ya soda?
Hoja ya udikteta nayo inaonekana sasa kuzoeleka na kukosa nguvu katika jamii, je nguvu ya soda imebaki eneo lipi la kiuongozi?
Kwenye Sukari..
 
Je sasa Dawa Hospitalini Zipo? Je Vitanda Vipo? Je watoto bado wanakaa chini? Je Mafisadi Nyangumi bado wanapeta? Je Elimu ya Bure imeanza?

Je Waalimu wanalipwa Mishahara yao ontime? Je Ajira Kwa Vijana Upo?

Je Uhuru wa habari ipo? Je Uhuru wa Kisiasa Upo? Je Utawala wa Sheria Upo.

Je hali ya Mwananchi Ni Bora zaidi Baada au Kabla ya Magufuli Kuchukua Utawala wa Nchi? ( Na Nichomekee kwa Kunong'ona jeee suukari ya kutosha ipoo) (Na mpaka Marekani Kuna Mitumba, Thrift stores, lakini ati nayo itanangwa nia ni nzuri lakini je si ndoto za Alinacha hizo?) Tumpime kwa hayo na Hatutampunja au kujipunja, sawa Mkuu! Unafiki udemagogi au Ukibendera fuata Upepo hausaidii, iwe ni "Hapa Fakti tu"
 
a)viwanda
b)lugumi,iptl,barabara hewa,escrow,richmond
c)mahakama ya mafisadi
d)mbona yapo mengi...
 
Je sasa Dawa Hospitalini Zipo? Je Vitanda Vipo? Je watoto bado wanakaa chini? Je Mafisadi Nyangumi bado wanapeta? Je Elimu ya Bure imeanza? Je Waalimu wanalipwa Mishahara yao ontime? Je Ajira Kwa Vijana Upo? Je Uhuru wa habari Upo? Je Uhuru wa Kisiasa Upo? Je Utawala wa Sheria Upo. Je hali ya Mwananchi Ni Bora zaidi Baada au Kabla ya Magufuli Kuchukua Utawala wa Nchi? Tumpime kwa hayo na Hatutampunja au kujipunja, sawa Mkuu! Unafiki udemagogi au Ukibendera fuata Upepo hausaidii, iwe ni "Hapa Fakti tu"
mkuu,ayo uliyoandika mleta mada hayawezi kuyatolea maelezo kwani yamemzidi kimo
 
aaaah!!! hadi Leo hii kila siku tunasikia MLIO NI ULE ULE 2!! badilisheni basi!
ooh! Leo Tumetumbua
Tumesimamisha
TUtakupangia kwingi
MKITAKA KUSONGA MBELE MSIANGALIE NYUMA! ANZIENI HAPO MLIPO VINGINEVYO MTAKUJA MTUMBUA HADI AKINA;CHIF MANGUNGO HALAFU MSIFANIKIWE KUTULETEA LOLOTE LA MAENDELEO!
 
Je sasa Dawa Hospitalini Zipo? Je Vitanda Vipo? Je watoto bado wanakaa chini? Je Mafisadi Nyangumi bado wanapeta? Je Elimu ya Bure imeanza? Je Waalimu wanalipwa Mishahara yao ontime? Je Ajira Kwa Vijana Upo? Je Uhuru wa habari ipo? Je Uhuru wa Kisiasa Upo? Je Utawala wa Sheria Upo. Je hali ya Mwananchi Ni Bora zaidi Baada au Kabla ya Magufuli Kuchukua Utawala wa Nchi? ( Na Nichomekee kwa Kunong'ona jeee suukari ya kutosha ipoo) (Na mpaka Marekani Kuna Mitumba, Thrift store lakini ati nayo itanangwa nia ni nzuri lakini je si ndoto za Alinacha hizo?) Tumpime kwa hayo na Hatutampunja au kujipunja, sawa Mkuu! Unafiki udemagogi au Ukibendera fuata Upepo hausaidii, iwe ni "Hapa Fakti tu"
Tutampima kwa ilani na ahadi zake sio hayo mengine ...mnahamisha magoli lakini bado anawafunga tu
 
aaaah!!! hadi Leo hii kila siku tunasikia MLIO NI ULE ULE 2!! badilisheni basi!
ooh! Leo Tumetumbua
Tumesimamisha
TUtakupangia kwingi
MKITAKA KUSONGA MBELE MSIANGALIE NYUMA! ANZIENI HAPO MLIPO VINGINEVYO MTAKUJA MTUMBUA HADI AKINA;CHIF MANGUNGO HALAFU MSIFANIKIWE KUTULETEA LOLOTE LA MAENDELEO!

Hata huko kwenyewe si zuga tu. Ile koki pale bandarini si ili...kutokana na maagizo kutoka ngazi za juu?
 
aaaah!!! hadi Leo hii kila siku tunasikia MLIO NI ULE ULE 2!! badilisheni basi!
ooh! Leo Tumetumbua
Tumesimamisha
TUtakupangia kwingi
MKITAKA KUSONGA MBELE MSIANGALIE NYUMA! ANZIENI HAPO MLIPO VINGINEVYO MTAKUJA MTUMBUA HADI AKINA;CHIF MANGUNGO HALAFU MSIFANIKIWE KUTULETEA LOLOTE LA MAENDELEO!
Kutumbua ni zoezi endelevu ...mpaka uwe utamaduni wetu kuwajibika....
 
Kutumbua ni zoezi endelevu ...mpaka uwe utamaduni wetu kuwajibika....
aaah!! ujue kwa mwenye njaa siku moja ni kama miaka 10000 lakini kwa mwenye shibe ni kama 1sec!
TUKITAKA KUFUATILIA NYUMA HAKUNA TIMILIFU MAANA SOTE NI BINADAMU! HATA MWL ALIKUWA NA MAJIPU YAKE! JE, KWA STAIL HII TUTAFIKA KANANI AU NDO ZUGA TU?!
 
Je sasa Dawa Hospitalini Zipo? Je Vitanda Vipo? Je watoto bado wanakaa chini? Je Mafisadi Nyangumi bado wanapeta? Je Elimu ya Bure imeanza? Je Waalimu wanalipwa Mishahara yao ontime? Je Ajira Kwa Vijana Upo? Je Uhuru wa habari ipo? Je Uhuru wa Kisiasa Upo? Je Utawala wa Sheria Upo. Je hali ya Mwananchi Ni Bora zaidi Baada au Kabla ya Magufuli Kuchukua Utawala wa Nchi? ( Na Nichomekee kwa Kunong'ona jeee suukari ya kutosha ipoo) (Na mpaka Marekani Kuna Mitumba, Thrift stores, lakini ati nayo itanangwa nia ni nzuri lakini je si ndoto za Alinacha hizo?) Tumpime kwa hayo na Hatutampunja au kujipunja, sawa Mkuu! Unafiki udemagogi au Ukibendera fuata Upepo hausaidii, iwe ni "Hapa Fakti tu"
Watafiti wetu nguli barani Afrika TWAWEZA watakuja siku si nyingi kujibu baadhi ya hoja zako zinazohitaji statistics kuzijibu
 
Nchi hii mfumo wa mwanzo baada ya Uhuru haukuimarika hivyo kila kiongozi atakayekuja anakuwa na kazi kubwa sana kuweka mambo sawa na atapata lawama bure tu

Tatizo ni msingi wa baada ya Uhuru..!
 
Watafiti wetu nguli barani Afrika TWAWEZA watakuja siku si nyingi kujibu baadhi ya hoja zako zinazohitaji statistics kuzijibu
Zingine zinajibika tu kwa kutembelea shule, hospitali, na kuangalia kama kuna vijana vijiweni, na kwenda kuulizia bei ya sukari, na kwa swala na uhuru na demeokrasia, tunajionea wenyewe kila siku ikiwa unakua au kuharibiwa. Hawa wataalamu naona wakawasaidie saidie masokwe kule Gombe!
 
aaaah!!! hadi Leo hii kila siku tunasikia MLIO NI ULE ULE 2!! badilisheni basi!
ooh! Leo Tumetumbua
Tumesimamisha
TUtakupangia kwingi
MKITAKA KUSONGA MBELE MSIANGALIE NYUMA! ANZIENI HAPO MLIPO VINGINEVYO MTAKUJA MTUMBUA HADI AKINA;CHIF MANGUNGO HALAFU MSIFANIKIWE KUTULETEA LOLOTE LA MAENDELEO!
Porojo tu
 
Back
Top Bottom