Tuliopokea Increment ya pili tukutane hapa

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,042
Juzi siku ya mwisho wa mwezi November, Serikali iliongeza increment kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja ulioisha wa November.

Watumishi wengi hawajajua kama kuna salio la pili limeongezeka, kutokana na hasira za increment ndogo ya mara ya kwanza.

Kama wewe umepokea increment ya pili, njoo hapa tukutane.
 
Mkuu, Hutaona mtu hata kama watu wamepokea.

Kwa sababu, fununu zinasema wengi wa wafanyakazi wanadaiwa madeni na jamaa na marafiki zao hivyo ni ngumu sana kukubaliana na ombi lako.

Vyuma vimekaza.
 
Kwanini wanakopa na mshahara wanapata kila mwezi.

Increment ya pili??? Wakati hiyo moja ni kiduchu tunalalamika. Hongera kwa kupata increment mbili. Wengi wetu tumejawa hasira tu.
 
Hapo sawa kumbe ni uzembe tu.
Du yaani kukopa ni uzembe??? Issue iwe anakopa anaizalishaje ili kukuza kipato chake, lakini kusema eti kukopa ni uzembe huo ni ufinyu wa mawazo hata wafanyabiashara wanakopa kukuza biashara zao, je serikali inakusanya mapato kila siku na inakopa na sio TZ tu nao ni uzembe??? Amka!
 
Mkuu, Hutaona mtu hata kama watu wamepokea.

Kwa sababu, fununu zinasema wengi wa wafanyakazi wanadaiwa madeni na jamaa na marafiki zao hivyo ni ngumu sana kukubaliana na ombi lako.

Vyuma vimekaza.
Soma hapo juu kibaka wewe sio unadakia bila kuelewa.
Du yaani kukopa ni uzembe??? Issue iwe anakopa anaizalishaje ili kukuza kipato chake, lakini kusema eti kukopa ni uzembe huo ni ufinyu wa mawazo hata wafanyabiashara wanakopa kukuza biashara zao, je serikali inakusanya mapato kila siku na inakopa na sio TZ tu nao ni uzembe??? Amka!
 
Juzi siku ya mwisho wa mwezi November, Serikali iliongeza increment kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja ulioisha wa November.

Watumishi wengi hawajajua kama kuna salio la pili limeongezeka, kutokana na hasira za increment ndogo ya mara ya kwanza.

Kama wewe umepokea increment ya pili, njoo hapa tukutane.
Wamekuongezea shlng ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom