Tuliopita Katoke Seminary tujikumbushe hapa...

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
910
247
Salam woooooote wanajumuia tuliopata vidato pale bila kujali umri kazi na cheo ulichonacho kwa sasa. Kina John Pombe Magufuli, Fr Sixmund Nyabenda, Adelard Nsaho (nasikia unaishi Newyork), Mathias Shindika, Fr Revocatus Nduta, Emmanuel Martine na wengine woooote....Nakumbuka yafuatayo....Mama Agata,Misamiati kama -kagete, Njuka,Kaitaba,Kibati (Mwanzilishi ni Fr Sixmund), F**r Camel (nick name ya mtu fulani.....weka unayoyakumbuka......
 
Waliotoka hapo hivi karibuni pia watu-upadate mabadiliko ya hapo kwa sasa...
 
Salam woooooote wanajumuia tuliopata vidato pale bila kujali umri kazi na cheo ulichonacho kwa sasa. Kina John Pombe Magufuli, Fr Sixmund Nyabenda, Adelard Nsaho (nasikia unaishi Newyork), Mathias Shindika, Fr Revocatus Nduta, Emmanuel Martine na wengine woooote....Nakumbuka yafuatayo....Mama Agata,Misamiati kama -kagete, Njuka,Kaitaba,Kibati (Mwanzilishi ni Fr Sixmund), F**r Camel (nick name ya mtu fulani.....weka unayoyakumbuka......

Hakuna msamiati wowote kati ya hiyo uliyoitaja uliyoanzishwa na fr. Nyabenda. Nyabenda alitukuta Katoke na misamiati hiyo tuliikuta ispokuwa camel ambao uliazishwa sisi tukiwepo maana huyo mwenye jina hilo alihamishiwa hapo toka Nyaishozi Parish tukiwepo.

Muhimu: kuna fund raising kwa ajiri ya ukumbi wa kisasa tutoe michango yetu.
 
Good!...Mr Bullet, kagete ni msamiati wetu bwana,kibati nao?...ndiyo, nilisikia kuna ukumbi wa kisasa,Fr Nakule ndiyo Lecter...any more,update please.....
 
Kila mwana Katoke atakayeweza anaombwa kutoa mchango wake wa Ukumbi mpya wa Kisasa katika kuadhimisha miaka 50 ya Katoke semimary. Walianza kukusanya michango tangu trh 8 June. Tujumuike!!!!!
 
very interesting, i will pm you 2moro for more clarity. Ni kweli pia, wote tuliopita na kupata elimu hapo tuwe tayari kutoa michango yetu...
 
Kwa sisi wa hv karibuni kuna misamiati kama,kuzuka(kutoroka)nguna(ugali)nakumbka vitu ka chilo mo ucku wa pasaka,maghorofani(chooni)na mengne mengi.
 
Do u remember Mukubi, and neighbors such as mama Kalede, Kalede Potino. Tin upside down. Who does not like woman
Hayo nayo yalikuwepo enzi zetu
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Fr. Sixmund kwa sasa ni Paroko Jimbo la Rulenge, kanisa la Ngaramjini!

Kristo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom