Tuliopewa tunda baada ya kutoa lifti tukutane hapa

Juzi natoka moto nakuja dar, usafiri wa mabasi siku hiyo ulikuwa unasumbua nikasema nile vichwa, basi wkapanda watu wanne , wakaka wawili na wadada wawili wakali kishenzi, basi nikala elfu nane nane zap, sasa kufika dar nikawa nawashusha pale mbezi mwisho maana mimi nilikuwa naelekea temeke, basi yule demu mmoja nilikuwa sijammalizia chenji yake, maana alinipa 10, ikabidi nimpe elfu 5 na namba yangu ya simu ili anitumie elfu tatu yangu. Basi baadae kidogo akawa amenitumia hela yangu na tukajikuta tunaanza kuchat, jana jioni nimekutana naye hapo club kalabash, kesho boxing day naenda kufungua zawadi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikomaa na elfu tatu mkuu!
 
Jana tunatoka mitaa flan city center nikiwa na washkaji...mara paap tunakutana na watoto classic chotara wa kirangi..shepu,sura na unywele wamejaaliwa.Kwenye gari tup watatu.Kilichotokea mnakijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Ndiyo maana mr ananikazania nimalize driving lessons. Gari ina vishawishi vingi.
Kwanini kusema hivyo,kwani mtoa mada kafanya kosa gani,au baya gani?je mbinu alizotumia kumpata huyo Dada si ni mbinu za kihalali na za kawaida kabisa kiutongozaji?
Huo si ndio ushawishi unaotakiwa?hajabaka,amedanganya kumjali mdada hiyo ni sehemu ya kumshawishi,kumshawishi ni sehemu ya kutongoza.
Hata ukijua kuendesha gari,mwanaume atakusaidia kusukuma gari likikwama na ndio utakuaMwanzo wa wewe kutoa tunda.
 
Hello Fellaz,

Nakumbuka ni kama wiki hivi imepita, Ilikuwa mishale ya kumi na mbili asubuhi nakwenda ofisini. Ile nakunja kona mitaa ya zantel pale kuelekea msasani naona mtoto mweupe kavaa jeans Kali kasimama kinyonge nikajua huyu kashafeli kwenye usafiri. Wakati nakunja kona kutokea morocco nilimcheki nikaiweka gari mbele yake nikawasha hazard. Nilikuwa na uhakika kwa jicho nililomkata lazima aisogelee ndinga. Ndicho kilichotokea.

Baada ya kuingia garini ndani ya muda mfupi nikawa tayari najua taaluma yake na wapi anapoelekea. Kwakuwa siku hiyo nilikuwa nimewahi sana kuelekea ofisini bhasi nikasema si vibaya nikimpitisha mpaka ofisini kwake. Polepole nikaacha barabara ya kwenda masaki nikaelekea maeneo ya ofisini kwao jirani na fukwe ndani ya msasani peninsular. Nikamfikisha mpaka ofisini kwao akanishukuru, kipindi hiki ndio Uzi wetu pendwa wa kuwahi kula tunda kimasihara ulikuwa ukikata mbuga na nyika kilometa kwa kilometa. Hivyo kwenye akili nilikuwa na mawazo ya kimasihara tu, bhasi likanitoka neno kabla ya binti kushuka. "would you mind if I have your number??", mtoto alikuwa mzungu maana hakukuwa na lingine zaidi ya kuniomba simu.

Nafika ofisini nakutana na text kibao Ooh ahsante kwa lifti Mara una roho nzuri na varangati kibao. Kufupisha story tuliongea mengi na nikaomba nimwone jioni yake. The same day jioni nilimpitia job na kwenda naye katika moja ya fukwe. Tuliongea mengi sana huku tukipata msosi na vinywaji, kwenye saa nne hivi nilikanyaga mafuta kumrudisha kwake. Kesho yake ikawa kama vile asubuhi ya Jana yake, nilimkuta zantel akiningoja, nikamwacha ofisini na jioni nikampeleka Slipway kwa ajili ya dinner. Huyu Dada alikuwa Daktari na bado hakuwa mwenyeji sana Dar hivyo hizi out za jioni zilikuwa zikimkosha sana. She claimed to me hakuwahi fanyiwa hivyo , hakujua kwamba hata mie sio maisha yangu but nataka kitumbua tu. Tulishaongea mengi na ni wazi tulishapanga kulana maana its was lit kwa kila mmoja wetu. The day nampeleka Slipway alikuja na vile vifaa vya kupima ngoma. Tukapima tukiwa kwenye gari eneo la parking kabla ya kushuka na sote tulikuwa vizuri. Baada ya kinywaji binti alitaka Siku hii kwenda kulala mjengoni ila nikamtolea nje maana najua nilichokificha huko. Hii ilikuwa Alhamisi nikamtaka awe mpole mpaka weekend, hakika weekend tulilana na it was so so good.

Hii ni moja kati ya movie niliyocheza uhusika vizuri sana. Niliact gentleman sana na hakika niliweza kumtengenezea mazingira huyu gal akafall mwenyewe. Tuletee yako. Merry Xmass & Happy New Year Guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjengoni umeficha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka ya 2010 nilikuwa na mshkaji wangu bwana tulikua tunakodisha gari ya jamaa fulani anapiga mishe za tax airport tunaenda mlimani chuoni 'kuwinda' yani nakumbuka siku moja tulimpa lifti mtoto mmoja akasema anaelekea mwenge, tukamwambia si tunaenda mlimani city kula bata tupe kampani, akasema poa mwenzangu akamwambia mwite na rafiki yako mmoja ili usiwe mpweke, tuliishia kuwagonga wote usiku kucha, kesho yake ma txt ya ubeibe mengi wakala block, nilikua kukutana na yule aliyeliwa na mwenzangu mitaa ya mbagala nikakausha kama vile simkumbuki na simfahamu kabisa.

Hello Fellaz,

Nakumbuka ni kama wiki hivi imepita, Ilikuwa mishale ya kumi na mbili asubuhi nakwenda ofisini. Ile nakunja kona mitaa ya zantel pale kuelekea msasani naona mtoto mweupe kavaa jeans Kali kasimama kinyonge nikajua huyu kashafeli kwenye usafiri. Wakati nakunja kona kutokea morocco nilimcheki nikaiweka gari mbele yake nikawasha hazard. Nilikuwa na uhakika kwa jicho nililomkata lazima aisogelee ndinga. Ndicho kilichotokea.

Baada ya kuingia garini ndani ya muda mfupi nikawa tayari najua taaluma yake na wapi anapoelekea. Kwakuwa siku hiyo nilikuwa nimewahi sana kuelekea ofisini bhasi nikasema si vibaya nikimpitisha mpaka ofisini kwake. Polepole nikaacha barabara ya kwenda masaki nikaelekea maeneo ya ofisini kwao jirani na fukwe ndani ya msasani peninsular. Nikamfikisha mpaka ofisini kwao akanishukuru, kipindi hiki ndio Uzi wetu pendwa wa kuwahi kula tunda kimasihara ulikuwa ukikata mbuga na nyika kilometa kwa kilometa. Hivyo kwenye akili nilikuwa na mawazo ya kimasihara tu, bhasi likanitoka neno kabla ya binti kushuka. "would you mind if I have your number??", mtoto alikuwa mzungu maana hakukuwa na lingine zaidi ya kuniomba simu.

Nafika ofisini nakutana na text kibao Ooh ahsante kwa lifti Mara una roho nzuri na varangati kibao. Kufupisha story tuliongea mengi na nikaomba nimwone jioni yake. The same day jioni nilimpitia job na kwenda naye katika moja ya fukwe. Tuliongea mengi sana huku tukipata msosi na vinywaji, kwenye saa nne hivi nilikanyaga mafuta kumrudisha kwake. Kesho yake ikawa kama vile asubuhi ya Jana yake, nilimkuta zantel akiningoja, nikamwacha ofisini na jioni nikampeleka Slipway kwa ajili ya dinner. Huyu Dada alikuwa Daktari na bado hakuwa mwenyeji sana Dar hivyo hizi out za jioni zilikuwa zikimkosha sana. She claimed to me hakuwahi fanyiwa hivyo , hakujua kwamba hata mie sio maisha yangu but nataka kitumbua tu. Tulishaongea mengi na ni wazi tulishapanga kulana maana its was lit kwa kila mmoja wetu. The day nampeleka Slipway alikuja na vile vifaa vya kupima ngoma. Tukapima tukiwa kwenye gari eneo la parking kabla ya kushuka na sote tulikuwa vizuri. Baada ya kinywaji binti alitaka Siku hii kwenda kulala mjengoni ila nikamtolea nje maana najua nilichokificha huko. Hii ilikuwa Alhamisi nikamtaka awe mpole mpaka weekend, hakika weekend tulilana na it was so so good.

Hii ni moja kati ya movie niliyocheza uhusika vizuri sana. Niliact gentleman sana na hakika niliweza kumtengenezea mazingira huyu gal akafall mwenyewe. Tuletee yako. Merry Xmass & Happy New Year Guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana mr ananikazania nimalize driving lessons. Gari ina vishawishi vingi.

Anataka nawewe uliwe kimasihara kwa kutaka mwenyewe? Raha ya ndoa ilinde buana na mwanamke akijua analindwa hakika anazidisha mahaba
 
Back
Top Bottom