Tuliopanga Uswahilini tuna vituko na maswahibu mengi, tuambiane hapa

bora umeanzisha huu uzi nitoe matakataka yamenikaba shingoni,,hapa nilipopanga kuna mpangaji mpya mwanamke, mke wa mtu na ana watoto wawili.daa huyu sister simwelewi ktk swala la kujisitiri muda mwimgi yeye anajifunga kitenge kimojaa kifuani kamaliza.leo nikawa nafua uwani yeye anaosha vyombo kainama mapaja yote nje,haha! daa ananipa shida sana namdindishia mke wa mtu na huu mwezi mtukufu.kama hii ndo life style yake bhas ntakuwa namkwepa hata kumuona maana me nikiona hata paja ndunga lazma isimame japo sipendi na ni fedhea kubwa halafu mme wake ni kijana mwenzangu japo ndo kaamia lakini naelewana nae vzuri ila mke wake ni careless ktk swala la kujisitiri kila siku anasababisha me nidindishe ovyoovyo ,ananitisha kwa kweli,kama ndo yupo hv
 
Ndugu wadau,

Najua humu JF tupo wengi sana tuliopanga katika hizi nyumba zilizopo Uswahilini, mtasema wenyewe kama upo Uswazi.
Basi narudi madani na nitaanza ni hichi kitabia kinachonikera sana mpaka roho inapasukaga ila haifi(UMEME).

Umeme katika nyumba hizi hua ni ugomvi usioisha, yaani unakuta kama kuna wapangaji zaidi ya wawili panatokea choko za watu kutaka kuhesabiana vyombo vya umeme.
Kwanini tunapimiana matumizi kupitia midomo ooh Mara we una Friji oooh unavaa nguo smart unatumia Pasi ooh Mara juisi kila siku sana anatumalizia umeme.

Na Mara zoote Umeme ukikatika unalaumiwa mwenye kauchumi oooh bila flani huu umeme tungemaliza mwezi.

Naamua kuishia hapa ili na waswazi wenzangu waulize, waseme vijitabia hovyo tujirekebishe au tushauriane ila kaswali; "kama unaona nina vyombo vingi vya umeme nani kakuzuia usiwe navyo wewe pia?".
Lipa kutokana na matumizi yako mkuu usiwatwishe mzigo wenzako mmi niko kwa nyumba tuko wapangaji wawili tunashea luku huyu jiran yangu anauza icecream ana deepfreezer old school hilo ni kama kisu cha ngariba linakeketa umeme bila huruma alaf mzigo tubebe wote tuna spend 80,000/= na zaidi kwa mwez akat kaka yenu getto natumia kulala tu usiku ebu wakaz wauswaz jifunzen kutoshirikisha wenzenu kulipia bili zenu
 
Aaaah mi nimeishi uswazi vyumba vya kuangaliana daah sasa kulikuwa na dada mmoja bachela na mimi nilikuwa bachela yaani nilikuwa najigongea any day ,any time uswazi raha bana
 
Hv kumbe watu watajificha khs kuish Uswazi!? Aise me wa Kwanza naishi nyumba yenye Familia 4 pamoja ila kuna KaBACHELOR kapo kana Chumba kimoja kazi kuwavusha maduu mbele za Wake zetu yaan Shiidah hadi unataman uweke CCTV kwa Mke maana daaah achah!
Hahaha hizo zilikuwa zangu sema mimi nilikuwa najisevia mpangaji mwenzangu
 
Halafu ukute ni mwanafunzi wa chuo ndiyo kachukua kabufa kake ka kilo na nusu ka boss kupitia boom. Wanasumbua kinoma.

Kuna binti alikuwa anafulia chupi choteo la chooni la maji. Choteo analifanya kma beseni. Siku moja akajichanganya akaliingiza ndani bwana mpangaji si akaanza kulalamika ndiyo maana siku hizi ulimi wake hauna ladha amezamishwa chumvini bila kupenda.


Binti alikuja kuhama.
mnaanzaje kushare makopo(choteo sijui?)
 
hahaaaa msinikumbushe uswazi kwa babu. kulikuwa na choo passport size, sasa jirani kuna minazi mingi sana, huwa wanagema pombe ya mnazi, unaweza kuingia kuoga na mgema ndio anapanda, kelele sake hizo.....we mgema shukaaaa,.... ukute mgema keshalewa, hashuki anacheka tu, mbona hadi umuite babu
 
Duku duku langu kubwa ni kelele za mziki, kuna huyu mmoja nakaa naye chumba cha pembeni alikuwa anapiga muziki mpaka hatusikilizani, kila tukimwambia anajifanya kutuambia eti hatuna redio ya muziki mkubwa.

Nilimtegeshea siku moja wamekuja ndugu zake nikaweka CD ya mambo yetu yale ya jukwaa la chini kabisa, nikaongeza sauti nikafunga mlango nikaondoka zangu, nimerudi baada kama ya masaa manne nikafungua mlango nikaingia kwangu, toka siku hiyo sijasikia tena mziki wa sauti ile.
 
wauswahili wako IG wanadiscuss zari na Ivan na kuedit picha zao uku hawapendeleagi
 
Muziki wa kisingeli ni kero
Vilabu vya pombe, komoni na banana
Matusi muda wowote, kwa makuzi ya watoto ni hatari
Mama Amina, hapo ni kero za mitaa ya uswazi bado nyumba zetu sasa
Kufuatiliana watu wanajua unakula nini wewe nunua mihogo yako ficha na magazeti mifuko hata kwenye salfet watu watajua kama umekula mihogo mitatu
Foleni ya kwenda chooni asubuhi ni kero
Karo la kuoshea vyombo kuwa karibu na mlango wa choo au bafu,
Nyumba nyingi maji ni shida, na yakitoka ni ya chumvi ( dar ) na ngumi lazma zitatokea tuu
Ukivusha ka demu mke wa jirani akaona anaona wivuuuu utatangaziwa malaya, utategwa tegwa na ukimbandua tu kosa mama mwenye nyumba naye atataka au mtoto wake
Usijerogwa ikatokea siku ukajamba kwa nguvu ukiwa toilet huku nje wawepo mabinti wa kiswazi, utajuta kwa vicheko
Umemtegea Kama walivyosema wachangiaji waliopita
Mama mwenyenyumba au bint yake wataka niwsbandue nawabandua tu *****
 
Niliishi uswazi tandale nyumba tuko wapangaji 7 afu masister du wako 4 ukija na mlupo wanakununia wiki,afu tatizo lilikua choo dah! Wadada wanajipanga hapo nje kusukana sasa ole wako uwe na tumbo la kuharisha tarrraaaatttt
 
Suluhu ni rahisi sana ukizingatia dunia ya Teknolojia tuliyo nayo... inshort Kila mpangaji awe ana UNIT READER kupima matumizi yake ya umeme.
 
Dahhhhhhhhhhh! Nilishawahi kuishi mazingira flani ya uswazi nikiwa na chumba kmoja tu na nilikuwa nikiondoka asbh nilikuwa nikirudi usiku mnene sana,lakn wapangaji wenye vyumba vingi na walikuwa na familia wakaniambia tulips bills za maji na umeme sawa ( mwenye chumba kimoja alipe saw a na wenye vyumba vnne au zaidi) Kwa kifupi uswaz huwa kuna mambo ya ajabu sana kama vile kusemana vbaya na hata kulogana.
 
Hivi ni vituko uswahili, uswahili kuna vituko.

Mpangaji mmoja anawachonganisha wapangaji wengine.
 
Back
Top Bottom