Tulioomba kazi za MDH za Data Offices ambazo mwisho wake ilikuwa Julai 21, tupeane Updates

ip_mob

ip_mob

Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
67
Points
125
ip_mob

ip_mob

Member
Joined Nov 14, 2016
67 125
Suala la ajira ni mtambuka si serikali wala NGO unaweza walaumu tu hao Hr serikali sehemu kuna level playing field ni sector ya UALIMU na Afya hasa kutokana na demand kubwa kwa wanaohitajika kuajiriwa. Sehemu zingine ni MAJESHI NA POLISI nao kidogo ila nako pia kuna nani anakujua.
Tunapaswa tulaumu system nzima si kuzitenga hizi NGO kwanza kipaumbele kikubwa tungeanza kulaumu sector ambazo serikali inahusika kwa asilimia nyingi kuliko hata hizi NGO tatizo ni kubwa kuliko fikra zetu.
Hatukatai system inahuskika kutufikisha hapa tulipo ila maHR wengi wa kibongo kwenye NGOs ni tatizo.
Nakuambia hivi from personal experience back then.
Wanakwamisha sana watu hawa.
Ila sio wote.
 

Forum statistics

Threads 1,324,588
Members 508,741
Posts 32,167,348
Top