Tulioomba kazi za MDH za Data Offices ambazo mwisho wake ilikuwa Julai 21, tupeane Updates

Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,842
Points
2,000
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,842 2,000
Hawa jamaa hawajawahi kuitwa kuniita sifaham kwa nini, na mm huwa mwaminifu sana kutuma maombi sijawahi kutowatumia maombi yangu
yaani nacheka kama mazuri vile, mtu ambae hajawahi kukaa kitaa hawezi kukuelewa Mkuu.
 
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
11,842
Points
2,000
Aleyn

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
11,842 2,000
Inawezekana hilo au wakawa kawaida sana sema tu kwa vile nature ya Hiyo Org. Ni watoto wa vibopa na kujuana kwingi wamekula shavu yote yanawezekana.
wapo kawaida tu mkuu, mimi nimewashuhudia wawili.
 
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,929
Points
2,000
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,929 2,000
DAH NGOJA NIRUDI KIJIJINI TU , NIKAWE MKULIMA TU NA HIVYI VYETI .
 
pin kubwa

pin kubwa

Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
65
Points
95
pin kubwa

pin kubwa

Member
Joined Nov 18, 2012
65 95
ipo siku nitasimamia show niwaburuze mahakamani kwa kutofata utaratibu maana haiwezekani kutoa tangazo la ajira lienee wee lakini kitendo cha kutoa majina ya short list iwe kazi na hapo ndo watakaponitoa mtaji
 
K

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
300
Points
225
K

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
300 225
Karibuni sana kwa wale mtakao bahatika kupata kazi hiyo. MDH inawakaribisha sana, pesa ipo kwakweli
 
ip_mob

ip_mob

Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
69
Points
125
ip_mob

ip_mob

Member
Joined Nov 14, 2016
69 125

Cha msingi ni kupata hiyo bahati manake maNGOs yanayoongozwa na wabongo kwenye upande wa kuajiri ni majanga.
Foul nyingi sana ila yapo machache yanaoajira kwa haki na sio undugu.
Labda mdh nao wanaajiri wa haki.
 
Kitwitwi_

Kitwitwi_

Member
Joined
Jun 15, 2019
Messages
11
Points
45
Kitwitwi_

Kitwitwi_

Member
Joined Jun 15, 2019
11 45
Karibuni sana kwa wale mtakao bahatika kupata kazi hiyo. MDH inawakaribisha sana, pesa ipo kwakweli
mzee kuna zile za tabora mchakato wake utatujuza wakianza kuita tuwe karibu na simu
 
K

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
300
Points
225
K

KASEHUYE

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
300 225
mzee kuna zile za tabora mchakato wake utatujuza wakianza kuita tuwe karibu na simu
Zile za Tabora bado bado kidogo. Mchakato utachukua kama 3 weeks kabla ya kuitwa kwa Interview
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,884
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,884 2,000
Dogo nakushauri utulie uendelee na shuhul zako ...ofisi zipo nyingi zinazotafuta watu, sio MDH tu, hapa kila mtu anakuja anakuambia lake wengine hadi wanajinasibu wao ni MDH employees, usisumbuke na ofisi moja tu kwani wao ndo Nani nchi hii? Wakiamua wachukuane mashemeji ni kivyao,. Usipoteze muda na kukosa kwa ajili ya kaofisi kamoja
mbona nasikia memba hapo juu kasema kuwa tayari usaili umefanyika ?????
 
ip_mob

ip_mob

Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
69
Points
125
ip_mob

ip_mob

Member
Joined Nov 14, 2016
69 125
Dogo nakushauri utulie uendelee na shuhul zako ...ofisi zipo nyingi zinazotafuta watu, sio MDH tu, hapa kila mtu anakuja anakuambia lake wengine hadi wanajinasibu wao ni MDH employees, usisumbuke na ofisi moja tu kwani wao ndo Nani nchi hii? Wakiamua wachukuane mashemeji ni kivyao,. Usipoteze muda na kukosa kwa ajili ya kaofisi kamoja
Umenena vyema mkuu.
 
charles ogopa tapeli

charles ogopa tapeli

Senior Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
116
Points
225
charles ogopa tapeli

charles ogopa tapeli

Senior Member
Joined Jul 15, 2013
116 225
Hizi kazi hizi balaa tupu...Zile za Tabora nikajua ndio hizi mnasema interview imefanyika
 
J

John7371

Member
Joined
Apr 29, 2018
Messages
38
Points
125
J

John7371

Member
Joined Apr 29, 2018
38 125
Cha msingi ni kupata hiyo bahati manake maNGOs yanayoongozwa na wabongo kwenye upande wa kuajiri ni majanga.
Foul nyingi sana ila yapo machache yanaoajira kwa haki na sio undugu.
Labda mdh nao wanaajiri wa haki.
African HR's hasa Tanzania ni shida mno;majority wanaongozwa na upofu kuliko weledi,hamna level playing field Ila watu wanapouliza na kukosoa mifumo ambayo wanaitumia kuajiri kazi kupiga propaganda kama na usipokuwa unajua uhalisia wanaweza kulisha matangopori,Mh.Magufuli bado anasafari ndefu ya kupambana na hawa wakora;NGO's now days zimekuwa kichaka cha watu wachache kuchakachua funding za wahisani na kuajiriana kwa system fulani ili kulinda ufisadi wao;sisi kama wasomi wa Tanzania tusijaribu kupumbazwa na wakora walaji wa Hz Ngos kwamba Mambo ni sawa;hapana,Tujenge awareness kwa wenzetu wasioelewa kinachofanyika na pia kupaza sauti zetu serikalini Ili wawe regulated na serikali kwa kiwango fulan;at least Ngos ambazo ni international na zinaendeshwa na sehemu ya mchanganyiko na wazungu ndo at least kuna playing field Ila ukiona ni ya wabongo tupu jua hapo kuna posibility kubwa ya wakora;nasema haya kwa sababu nayajua.
 
ni ukweli usipingika
 
Suala la ajira ni mtambuka si serikali wala NGO unaweza walaumu tu hao Hr serikali sehemu kuna level playing field ni sector ya UALIMU na Afya hasa kutokana na demand kubwa kwa wanaohitajika kuajiriwa. Sehemu zingine ni MAJESHI NA POLISI nao kidogo ila nako pia kuna nani anakujua.
Tunapaswa tulaumu system nzima si kuzitenga hizi NGO kwanza kipaumbele kikubwa tungeanza kulaumu sector ambazo serikali inahusika kwa asilimia nyingi kuliko hata hizi NGO tatizo ni kubwa kuliko fikra zetu.
 
ip_mob

ip_mob

Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
69
Points
125
ip_mob

ip_mob

Member
Joined Nov 14, 2016
69 125
African HR's hasa Tanzania ni shida mno;majority wanaongozwa na upofu kuliko weledi,hamna level playing field Ila watu wanapouliza na kukosoa mifumo ambayo wanaitumia kuajiri kazi kupiga propaganda kama na usipokuwa unajua uhalisia wanaweza kulisha matangopori,Mh.Magufuli bado anasafari ndefu ya kupambana na hawa wakora;NGO's now days zimekuwa kichaka cha watu wachache kuchakachua funding za wahisani na kuajiriana kwa system fulani ili kulinda ufisadi wao;sisi kama wasomi wa Tanzania tusijaribu kupumbazwa na wakora walaji wa Hz Ngos kwamba Mambo ni sawa;hapana,Tujenge awareness kwa wenzetu wasioelewa kinachofanyika na pia kupaza sauti zetu serikalini Ili wawe regulated na serikali kwa kiwango fulan;at least Ngos ambazo ni international na zinaendeshwa na sehemu ya mchanganyiko na wazungu ndo at least kuna playing field Ila ukiona ni ya wabongo tupu jua hapo kuna posibility kubwa ya wakora;nasema haya kwa sababu nayajua.
Well said mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,326,730
Members 509,582
Posts 32,232,652
Top