Tulioomba kazi za MDH za Data Offices ambazo mwisho wake ilikuwa Julai 21, tupeane Updates

Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,929
Points
2,000
Lexus SUV

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,929 2,000
Karibuni wajumbe tupeane any updates or any information depending on that area
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,218
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,218 2,000
Naona wako kimya. Ila hivi karibuni wametoa nafasi nyingi za ajira. Nadhani watakuwa wamepokea fungu nono.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,453
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,453 2,000
Madogo washaingia mzigo tayari wanakula mzigo
 
pin kubwa

pin kubwa

Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
65
Points
95
pin kubwa

pin kubwa

Member
Joined Nov 18, 2012
65 95
wametoa kazi nyingi sana nadhani wanataka kufanya interview ya pamoja maana nafasi walizotoa ni nyingi
 
LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Messages
1,502
Points
2,000
LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2016
1,502 2,000
Hawa jamaa hawajawahi kuitwa kuniita sifaham kwa nini, na mm huwa mwaminifu sana kutuma maombi sijawahi kutowatumia maombi yangu
 
fastum

fastum

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Messages
384
Points
250
fastum

fastum

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2014
384 250
Sijawahi hata kuitwa interview kabisa na vigezo vyao vyote huwa navikidhi kabisa inaonekana kabisa pale uezekano Wa connection au undugu au pesa ili kupata kazi
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
1,207
Points
2,000
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
1,207 2,000
MDH wanakataga umeme hao.sina hamu
 

Forum statistics

Threads 1,326,743
Members 509,585
Posts 32,233,230
Top