Tulionyimwa hela ya field tufanyeje?

Aug 5, 2017
36
22
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu na hili
Naona watu wengi wanaosoma school of sopam mzumbe university kama bhsm ,bhrm,bpa na wengine hawajapewa hela ya field. Naomba kufahamishwa
Mimi nachukua health system management bhsm lakini no field money naomba kueleweahwa kwa hilii
 
Mwaka wa kwanza hamna na wazazi wajiandae maana wanaweza wasikupe hela ya kila kitu
 
We jamaa, utaratibu wa Mzumbe, field ni mwaka wa mwisho na mara moja tu, semister nzima unaenda kufanya na research then unasubmit na research report na kuidefend + fieldwork assesment report

Isipokuwa kwa wale wa education nadhan wanakwenda zaid ya mara 1
 
Back
Top Bottom