kinyaukitoto
Senior Member
- Oct 13, 2019
- 103
- 188
MKUU nataka mwakani ninunue mpunga niuweke nisubir bei ipande, ila kuna watu wananishaur nilime mwenyew hâta hivyo sina uzoefu nacho. Naomba ushaur bora kipi ?Mimi nilishapigwa na kilimo kwasasa sina ham nacho kabisa,ninachokifanya nachukua mazao kwa mkulima then nayaweka store bei ikipanda nauza.
Pia naomba ushaur Hv ukiwa na stoo hapa Dar ukasambaza mpunga kwa jumla unalipa ?