Tuliongia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
2,661
Points
2,000

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
2,661 2,000
Mimi nililima hekari 40 za mpunga Ifakara (signal). Nilitumia milioni kumi lakini nilikuja kuvuna gunia 14 tu. Na hizo gunia 14 ndiyo pesa ya vibarua; mfano kukata, kukusanya, kupiga kupepeta, kununua viroba. Kwa ufupi ziliishia humo tu. Niliambulia kupata gunia moja la mpunga nikakoboa nikapata mchele kilo 70. Kesho yake nikapanda basi kurudi Dar Nikawaletea chakula tu kilichopatikana. Nipo Ilala nawaza bora ningefungua duka la spea, ILA YA MUNGU MENGI.
Pole sana kk
 
Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
2,976
Points
2,000

Danpol

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
2,976 2,000
Huko SAME boda 1 ambalo ni heka kasorobo wanakodisha laki 3. Gharama za maji laki na 20. Mbolea mifuko 2 laki 1. Mbegu na wapandaji(watulizaji elf 70) dawa ya magugu elf 60. Kodi ya ushirika elf 60.
Ukivuna kwa mashine andalaa elf 70 mpk 80. Mfuko mtupu 800 mpk 100 each. Bado storage.
Msimu uliopita Gunia la debe 6 limeuzwa elf 50.
Piga hesabu zako uone italipa.?
Msimu wote utakula kambare na ugali mpk ulimi upoteze ladha manakw lzm ukomae mwenyewe mwanzo mwisho.
Wastan wa heka inatoa gunia ngapi
 
kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,779
Points
2,000

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,779 2,000

Ongeza gharama hizi
Kusafisha Shamba
Kulima
Kutengeneza jaruba
Vibarua kuweka mbolea
Kusafirisha mpunga kutoka Shamba mpaka stop
Gharama za Kijana kulinda ndege
Chakula cha Kijana wa Shamba anayelinda ndege
 
John7371

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Messages
104
Points
250

John7371

Senior Member
Joined Apr 29, 2018
104 250
Kama nitaamua kuingia siku kwenye kilimo basi nitakuwa middle man

Siku zote middle man ndio wanaopiga hela za ukweli

Soon nitaibuka kilombero na kyela kwenda kuchukua Gunia za mpunga za kutosha niweke stock nihold Hadi bei ipande nipige hela .
Biashara ya mazao ya kilimo nayo inachangamoto zake;na source ya changamoto zote za kilimo zinasababishwa na sera mbaya ya kilimo ya kitaifa;na Pia hasa maamuzi mabaya ya viongozi watu!Ngoja nikupe experience yangu ndogo ya kuwa middleman kwenye mazao,Mwaka 2017 niliwekeza 7M kwenye kununua Mahindi kwa wakulima na lango lilikuwa ni kuyahifadhi na kuja kuyaudha baadae kwa faida hvyo nikatafuta sehemu ya storage na kulipia,Nika arrange transport kuyatoa shambani mpaka storage na vibarua wa kupakia na kupakua pamoja na gharama nyingine nk.;and offcourse kila kitu kikawa ok.And keep in mind kwamba faida unaipiga kwa gunia kulingana na kilo hvyo roughly katika mahesabu yangu gharama jumla ya kila gunia ilikuwa 55,000.During storage kuna gharama zake za kuya maintain na market value ya kugunia ilikuwa 70,000 ambapo kama ningeuza bei hii na kutoa gharama nyingine at least kila gunia nisingekosa chini ya 8'000 faida,after 2 months nikaona soko bei inaanza ku shake baada ya serikali kuzuia mahindi yasiuzwe nje;My friend 😆😆😆;kwenye soko la mazao saa moja linaweza kukupa ukichaa manake bei ya kilo asubuhi inaweza isiwe bei ya jion,gunia likashuka mpaka 52'000 na cost za kupambana na wadudu zikaaanza kupaa,baada ya 3 weeks gunia lilikuwa linaitafuta 40 na kitu na hapo sijamlipa dalali wala gharama nyingine plus energy lost sababu nilikuwa napambana nayo day and night;Nilichofanya nilimpigia simu dalali wa kuniuzia,nikatafuta na Fuso la kwenda kuyachukua storage nikamwagiza ndugu yangu akayasimamie kuuza sababu personally sikutaka kushuhudia matokeo ya hasara kwa macho yangu;nilikuwa very disappointed mnoo na kiukweli niliangukia Pua!Angalia wafanyabiashara wengine overnight walijikuta wanaamka maskini kutokana na serikali,hvyo bila serikali kuweka mipango bora ya kilimo maangamiz ya watu kwenye kilimo hayataisha.
 
Kigorohe

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
65
Points
125

Kigorohe

Member
Joined May 21, 2019
65 125
Nimefarijika sana kukutana na huu uzi! Mimi mwaka jana nilijichanga sana pesa yangu ya boom baada kumaliza mwaka wa kwanza tu, nikaituma kijijini nikalima mahindi ekari 2. Aise nikaangukia pua! Nilivuna gunia 3 pekee nikauza. Nikaona labda usimamizi ulikuwa mbaya. Nikapambana tena nikakusanya 800k nimeenda mwaka huu nimepanda miche ya machungwa ya kisasa kama 100 na nimeanzisha mradi wa nguruwe. Hapa nasikilizia ila bado nipo chuoni mwaka 3 sasa. Kikubwa Mungu
 
Hakuna game rahisi aisee
 
Hakuna kukata tamaa kwenye kilimo unaweza kupiga hasara hata misimu minne
 
robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
2,171
Points
2,000

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
2,171 2,000
Ulivyofika dodoma na tikiti mambo yalivyobadilika,ungekua mbunifu na kua na plan b ,ungepiga ela nzuri sana,.mfano bila kua na aibu unasambaza mwenyewe kitaa reja reja Miki kwa moko, mengine unakata vipande,unatafuta goli unaweka mzigo chini,unaenda kwenye mahotel kutafuta soko, ,Yani mji mzima tikiti zao zingeenea
kumbuka yana life span yaani kuna muda, maalum wa, kuyatunza, dhoruba na mikiki mikiki ya, kusafirusha+uenyeji, figisu za wauzaji wenzako kwenye mamlaka, manpower maana huwezi kusimamia kila kitu yaani kupakua kwenye lori kubwa, weka kwenye toroli, tandaza turubai, uza, kata vipande, peleka hotel, sokoni kiufupi sio kazi ya sik 3. yataoza na utaishia selo kuwatumikisha watu bila kuwalipa.

kilimo na biashara za kuambiwa mzisikie tu jamani.
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
826
Points
1,000

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2018
826 1,000
Mimi nililima hekari 40 za mpunga Ifakara (signal). Nilitumia milioni kumi lakini nilikuja kuvuna gunia 14 tu. Na hizo gunia 14 ndiyo pesa ya vibarua; mfano kukata, kukusanya, kupiga kupepeta, kununua viroba. Kwa ufupi ziliishia humo tu. Niliambulia kupata gunia moja la mpunga nikakoboa nikapata mchele kilo 70. Kesho yake nikapanda basi kurudi Dar Nikawaletea chakula tu kilichopatikana. Nipo Ilala nawaza bora ningefungua duka la spea, ILA YA MUNGU MENGI.
Kama ulikuwa ndio unaanza, ulilima hekari nyingi sana.. Pole mkuu
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
6,364
Points
2,000

Mazigazi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
6,364 2,000
Nimesahau kuongezea nililima Tikikiti nilipata mkuu.wakaja madalali wa moro town wakataka tikikiti kubwa kwa 3000 na dogo kabisa kwa 1500.wakataka zote heka 3.Tamaa dalali wa dar kanipigia simu tikikiti dogo buku3 kubwa mpaka buku7.Kihehere nikaona bora nikauze dar.nikadaka fuso brother.Kuruka bongo daresalam.Nakuta tikiti zimemwagika kama mvua ya mawe.Dalali kaishiwa pozi akaniambia hali ndio hio.Nikauza hadi jero jero nikalipa fuso.Nikarudi zangu moro mpoole kama nimemwagiwa maji...Kama ningekua sina hajira ungekuta nimeshachanganyikiwa.

SHAMBA SIRUDI KAMWE.Nyie nendeni tu.Nawatakia mafanikio mema
Wewe tamaa zinakuponza hahahah
 
kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Messages
3,779
Points
2,000

kabila01

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2009
3,779 2,000
Kama ulikuwa ndio unaanza, ulilima hekari nyingi sana.. Pole mkuu
Tukipigiwa hesabu wazee wa fursa za PDF hua tunakurupuka sana ili tutoke mapema. Maana unaambiwa ekar 1 unapata faida million 10 kwa kuinvest million 1. Sasa mtu anaona atupie million 10 atusue 100 bila kua na uzoefu na shamba
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
826
Points
1,000

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2018
826 1,000
Tukipigiwa hesabu wazee wa fursa za PDF hua tunakurupuka sana ili tutoke mapema. Maana unaambiwa ekar 1 unapata faida million 10 kwa kuinvest million 1. Sasa mtu anaona atupie million 10 atusue 100 bila kua na uzoefu na shamba
Duh! Nashukuru sijawahi kuingia kwa mkumbo wa wazee fursa za kilimo cha Tuma hela ya mbolea
 
Forum statistics

Threads 1,355,856
Members 518,781
Posts 33,121,501
Top