Tuliokwama kwenye foleni tujuane asubuhi hii maana ni balaa

sawa tumekusoma, sasa mkuu samahani lakn kwenye uzi wako hizi nukta ni za kazi gan? na wewe pia una shida ya R na L, jitahidi sana mkuu, mbona kama una haraka pia kwenye uzi wako?
anazo I'd mbili au zaid n hizo nukta ni kwa ajili afiche mwandiko wa I'd zake nyingine.....
 
Back
Top Bottom