Nawe wahi upate wako au wakivishwa hivyo ndio unawataka sasa,thubutuDah
watu wanajua kuwahi vitu vizuri aiseeeee....Karoho kameniuma, sema basi tu
Kako poa tatizo katikati ya game kanaweza kuleta mambo ya haki za wanawake
Kwenye hiyo kitu hayo ya haki sahau, hapo haki ni dushe tuKako poa tatizo katikati ya game kanaweza kuleta mambo ya haki za wanawake
Ulipitia mkuu?Katamu balaa