Tuliokosa nafasi JKT

Kwa kuzingatia kuwa tatizo la ajira bado ni changamoto nchini na sehemu nyingine nyingi duniani mbinu madhubuti zinahitajika katika kupambana na tatizo hili. Taasisi na watu mbali mbali wamekuwawakitoa pendekezo la kujiajiri kama njia ya kutatua tatizo hili. Pamoja na hayo suala la kujiajiri limekuwa likionekana gumu na wakati mwingine kama lisilotekelezeka. Huku wengine wakikejeri kuwa wanohubiri neno la kujiajiri wengi wameajiriwa.

Suala la kujiajiri linachangamoto nyingi zikiwemo; ukosefu wa mitaji, mbinu na ujuzi wa kujiajiri, tamaa ya kupata fedha za haraharaka, na kukosa ubunifu kwa wale wenye malengo ya kujiajiri. Wakati mwingine suala hili limeonekana gumu zaidi kwa sababu kila mmoja analifikiria jinsi ya kujiajiri yeye binafsi. Kidole kimoja hakivunji chawa, uundaji wa vikundi na kuvirasimisha (kuvisajili) kuna weza kuongeza nguvu na hatimaye kufanikishamalengo ya kujiajiri.Natambua kuwa kwa vigezo vile ambavyo walitoa JKT Ili kujiandikisha tukivutumia na tukaji organise tuamua jambo la kufanya itakuwa vema zaidi kwani tupo vijana wenye taaluma mbalimbali......tutumie taaluma hizo kujiajiri ili tutoke kimaisha.Najua kuna watu wengine walikata tamaa au wanawaza kuwa maisha lazima uajiriwe lkn sasa angalia umri ulio nao na mpka sasa umefanya nn.Wakati tunatafakari kuisha na kwa mwaka huu fikiria na hili jambo ili mwakani tuanze maisha mapya tuweke strategies za kututoa kimaisha.kwa wale mlio tayari krbn sana tuanze mchakato huo...maoni yanakaribishwa pia
Safi aisee hiko ki2 ndo cha muhimu kwa sasa ata mm niko taari
 
niko tayari
 
Tuunge kundii zen tudiscus nini tufanye tiepukane na maisha ya kutegemea ajira ndugu zanguni aliyepost atakua admin coz ni mtu aliyetoa wazo tunaomba ushirikiano wako erickdenja
 
Back
Top Bottom