Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

Vipi kama asipofanya usajili wakat anasubiri mkopo ndo atakuwa amefutwa chuoni ama?
apana usajiri huwa unaendelea tu mpk wanafunzi wanapoelekea kufanya test 1 ambapo huwa ni mwezi wa kumi na mbili huko kwa hyo tatizo linapokuja hutaweza kufanya vzr semista ya kwanza kwa sababu utakuwa umechelewa masomo
 
Hivi nikihama chuo saiz awamu ya nne kama nikipata mkopo utaingia chuo nilichohamia au utaenda chuo cha zamani
 
Ondoa hofu, TCU na HELSB ni taasisi zinazofanya kazi Kwa ukaribu.Hivyo basi ripoti katika chuo unachotaka kuamia(ripoti baada ya kuwasiliana nao).Ukikamilisha registration jina lako pamoja na first year wenzako yatatumwa TCU ,linkup na HELSB ikishafanyika pesa yako utapokea.

Kumbuka hiyo pesa utadaiwa, itumie kistaarabu
 
Duh,ni bora kudaiwa nitailipa kuliko kukosa maana hadi saizi nimekosa 400k ya kuongezea nusu ada nikasajiliwe hali ni mbaya
 
We r in the same boat but I feel so sad for u mkuu,,but najua Mungu ana njia zake kwetu ucfikie huko mkuu,kip on praying mkuu.I see lyk the government doesn't care sometimes ila Niko na hyo passion kwamba cku moja na me ntakuwa huko juu nibadili haya mambo ambayo in fact yanaumiza wengi sana,l.
Well said mkuu,I appreciate you
 
Unakosea sana kumlaumu Mungu.Naamini ni kwa sababu hujamjua bado.Laiti ungemjua,kila linalokupata maishani ungekuwa unashangilia tu.
 
Back
Top Bottom