Tuliokosa kampani leo x mass tukutane hapa tufarijiane

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,434
2,000
Ni baada ya Jana kukataa mizinga kama mitatu hivi.

Basi mademu wote wamenisusa,

Wamekwenda kwa wenzangu wenye nazo.

Hapa napata zangu ubwabwa kwa mgahawa nkalale.

#Vijana tafuteni pesa
#mitano tenaKampaniless njooni
 

muxar

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
1,567
2,000
Kimsingi sio kukosa kampani.ni kukosa hela tu(Kama unazo ni za kukutosha mwenyewe tu)...Siku ndefu sana hii,unaweza hata kujikuta unanunua sabuni,na kukumbushia mambo flani.
 

jimmy scami

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
312
500
Me naona wameniblock kisha naona status yupo kwa mwenye nazo wanabembea na kukimbizana bustanini.... kaweza kuniblock kashindwa vipi kuni hide nisione status yake
BILA PESA MAPENZI HAKUNA *****
 

jimmy scami

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
312
500
Kimsingi sio kukosa kampani.ni kukosa hela tu(Kama unazo ni za kukutosha mwenyewe tu)...Siku ndefu sana hii,unaweza hata kujikuta unanunua sabuni,na kukumbushia mambo flani.
au nasema uongo ndugu zanguuuuu?????
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,546
2,000
image-2020-12-25-14:18:55-444.jpg

Nimejikuta nipo Site natafakari bei ya Sumenti
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,127
2,000
Me naona wameniblock kisha naona status yupo kwa mwenye nazo wanabembea na kukimbizana bustanini.... kaweza kuniblock kashindwa vipi kuni hide nisione status yake
BILA PESA MAPENZI HAKUNA *****
Kama huna pesa, huwezi kuwa na mpenzi, jitahidi uwe MPENZI WA MUNGU tu.
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,244
2,000
Heri ya Christmas.
Technic zangu ni zilezile, mademu chuo ninao wengi wa kuruka nao ila sidate na yeyote. Wiki ngapi hizi zimekuwa za vizinga vingi na kujichekesha na kunimiss, mara kuuliza nitaenda wapi, nitakuwa na nani.

Niko zangu maskani nimetulia kabisa. Sipendi kelele na fujo, viwanja leo vina wasumbufu ambao hawaendi hata bata ila leo wamejitutumua. Ukiingia malls ndio utashuhudia uchafu na usumbufu, beach ndio kabisa, swimming usiseme.

Sikukuu zikiisha January itakuja na njaa, viwanja vitabaki na legends, bumu limekata, baba zao ndio watakuwa wamelipa ada, nyodo hakuna tena. Mimi ultra legend ndio nitaingia kuplay party yangu. Mwaka jana nilifanya hivi na nilienjoy sana. Anayecheka mwishoni ndiye hucheka zaidi.

Bahati nzuri mimi sio shabiki wa sikukuu. Nikisali na kukesha imeisha nabaki na amani kuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom