Tulioko Mwanza Tukutane hapa

:D:DJumatatu nipo magomeni huku mnadani
Jumanne nipo kitangiri mnadan
Jumatano kiloleni
Alhamis mapumziko
Ijumaa pale nyakato national mnadani
:D
Jmosi makoroboi namshikia mtu kusagulasagula
Jpili ndani ya saba saba huko ilemela

kazi ya umama ntilie haijawahi muacha muuza mitumba salama
 
:D:DJumatatu nipo magomeni huku mnadani
Jumanne nipo kitangiri mnadan
Jumatano kiloleni
Alhamis mapumziko
Ijumaa pale nyakato national mnadani
:D
Jmosi makoroboi namshikia mtu kusagulasagula
Jpili ndani ya saba saba huko ilemela

kazi ya umama ntilie haijawahi muacha muuza mitumba salama
Weewe nikiboko nilikua sijcheka siku nzima ya leo....
 
Back
Top Bottom