Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, market radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mwake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Hakika alafu mume mwenyewe awe kama mr Zero IQ one mistake one goal mbona atalia kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh jamani
Kualika shosti nyumbani? Au chumbani?!

Sioni tatizo mtu uliyezoeana nae kuja kwangu, nitaona tatizo akiingia chumbani

Mwanaume anayejielewa atasalimia za saa hizi ataondoka zake!

Ila kama ni macho juu juu basi tena.

Kwa maana hiyo utakuwa unafanya jambo kumchunga mume ambaye anaweza kumfata mwingine hata kwa kuchukua namba kwenye simu yako mwenyewe!
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mwake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Kwangu hatuchanganyiki, wanaume huko wanawake hukooo. Yanini taabu na raha ipo?
 
Mmmh jamani
Kualika shosti nyumbani? Au chumbani?!

Sioni tatizo mtu uliyezoeana nae kuja kwangu, nitaona tatizo akiingia chumbani

Mwanaume anayejielewa atasalimia za saa hizi ataondoka zake!

Ila kama ni macho juu juu basi tena.

Kwa maana hiyo utakuwa unafanya jambo kumchunga mume ambaye anaweza kumfata mwingine hata kwa kuchukua namba kwenye simu yako mwenyewe!
@hornet pliz mi mwanya wako tu hapo kwa Avatar niko hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukalimit mazoeza yasiyo na mipaka. Ila kuhusu ilo la kuwaambia wageni wake kwa lisaa, nusu saa n.k kidogo it's too harsh.

Nina jamaa yangu marafiki wa mkewe wakija huwa hakaagi sebleni, wakishalimiana anaenda chumbani au nje kwenye shughuri zingine. Lakini out of 10,amepiga 7 na wote hakuna anayemjua mwingine zaidi ya yeye na wife mwenye mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mwake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
mnapoolewa tafuteni urgly friends!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom