Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Birds of the same feathers do flock together. Kama shost ameolewa na yeye awe na muda na nyumba yake. Haya mambo ya kumuomba mume amdrop shost giza limeingia ndiyo wanaanzia guest house kwanza.
Na kweli,..ndio maana kuna mambo ya kufanya ukiwa hujaoa/kuolewa na baada ya kuingia kwenye ndoa,.huwezi kuishi maisha ya kibachela/urafiki mwingi ukishaingia ndoani,kuna vitu sharti uviache,.ama la tutamlaumu shetani saaana tuu.
 
Seems like kuanzia kwa wazazi wangu hadi kwangu, Mungu ametupa true friends. Tumeishi different places na tumejenga "undugu" na marafiki wengi. Kiasi kwamba kutembeleana hakujawahi kuwa tatizo, kama tukiwa mikoa tofauti, wageni wanafikia tu kwetu na hata mama kufikia kwao sometimes. Tunatembeleana na marafiki zangu na kulala kabisa, and hatujawahi kugombana over trust issues. I didn't find friends, I found sisters in my friends. Hatunaga shida kumuomba baby ampitishie rafiki yangu mzigo/ akifika mkoani kwao akaisalimie familia.

It sounds like you are a very very tribal/communal girl ever!

Yaani umezoea na kupenda watu kiasi kwamba imepitiliza!

On the surface mtu anaweza kuona upo sahihi ila it is not!

Unachokifanya infact ni disorder inaitwa Communal Narscissism!

Upo very very vurnerable maana upendo wako na trust umeutawanya across a population of watu blindly ,unaingia gharama,sweat and time kuu-service to these people!

So far huna tatizo maana true snakes bado hawaja-show up,until when they do!

Siku unapata lesson of your life vizuri ndio utaamini trust is something you can't afford to human beings kiholela!
 
Ugomvi mwingi sana wa familia hasa unaanzia kwenye usaliti wa marafiki kama hivyo!

Na hua ni mbaya na unaoumiza zaidi sababu aliekufanyia unamjua mwanzo mwisho!

Its a dangerous game!

Ila wanawake wengine sijui wana vichaa,they still do this stupid show offs na socialization bila kua makini!
Inahitaji akili kubwa kugundua hili mkuu! Na tunaofanya hivi wanatuona ni "old school".
Nina rafiki (no ni MTU ninayeongea naye) yeye kupeleka mashost kwake ni kawaida, tena unaweza ukakuta wanakubaliana tuu twendeni nyumbani tukapike. Na ana Mume kabisa.
We should agree kwamba matatizo yanayotokea katika familia ni sababu sisi tumeruhusu yatokee.
Same applied to men, unavoruhusu marafiki zako , wafanyakazi wenzako na maboss wako waje nyumbani na wazoeane na mke wako ni bomb unalolipika mwenyewe.
 
It sounds like you are a very very tribal/communal girl ever!

Yaani umezoea na kupenda watu kiasi kwamba imepitiliza!

On the surface mtu anaweza kuona upo sahihi ila it is not!

Upo very very vurnerable maana upendo wako na trust umeutawanya across a population of watu blindly ,unaingia gharama,sweat and time kuu-service to these people!

So far huna tatizo maana true snakes bado hawaja-show up,until when they do!

Siku unapata lesson of your life vizuri ndio utaamini trust is something you can't afford to human beings kiholela!
Ikitokea, itokee tu na sitovunja trust na kila mtu, ila wahusika wenyewe (na sio kwamba sijakutana na marafiki waliovunja trust yangu kwao) . Lakini siwezi nikawa nakaa namuwazia vibaya kila rafiki yangu kisa tu nina mume. Kwani wanaume wote wanachepuka na marafiki za wake zao? Haya nyumbani namprotect, huko nje nani anamprotect asikutane na wanawake? Maisha ya wasiwasi bila sababu ya msingi siyawezi. Mtu hajawahi kunipa sababu ya kumdoubt, why nimdoubt? Treating men as victims pyeeeeeee
 
Mmmh jamani
Kualika shosti nyumbani? Au chumbani?!

Sioni tatizo mtu uliyezoeana nae kuja kwangu, nitaona tatizo akiingia chumbani

Mwanaume anayejielewa atasalimia za saa hizi ataondoka zake!

Ila kama ni macho juu juu basi tena.

Kwa maana hiyo utakuwa unafanya jambo kumchunga mume ambaye anaweza kumfata mwingine hata kwa kuchukua namba kwenye simu yako mwenyewe!

Haha kazi tunayo jamani, sio kwa kuchunga huko
 
Inahitaji akili kubwa kugundua hili mkuu! Na tunaofanya hivi wanatuona ni "old school".
Nina rafiki (no ni MTU ninayeongea naye) yeye kupeleka mashost kwake ni kawaida, tena unaweza ukakuta wanakubaliana tuu twendeni nyumbani tukapike. Na ana Mume kabisa.
We should agree kwamba matatizo yanayotokea katika familia ni sababu sisi tumeruhusu yatokee.
Same applied to men, unavoruhusu marafiki zako , wafanyakazi wenzako na maboss wako waje nyumbani na wazoeane na mke wako ni bomb unalolipika mwenyewe.

Wake za watu wanapigwa kwa staili hizi hizi!

Una-expose mkeo mbele ya mafisi unategemea nini?

Na wanawake pia mnapigiwa waume zenu then same way!

Wanadamu ni wanyama,inapofika kwenye uzinzi they change and become animals na kuanza kupandana!

Thats the nature!
 
Ikitokea, itokee tu na sitovunja trust na kila mtu, ila wahusika wenyewe (na sio kwamba sijakutana na marafiki waliovunja trust yangu kwao)
Hujakutana na ya nguvu ikakuacha kilema mazima....Umekutana na vidogo vidogo tu so far!

Ukikutana na ukweli ndio utaelewa maharage ni mboga na sio zao la biashara!

Utafungua thread tu hapa,nitakua wa kwanza ku-comment!

Lakini siwezi nikawa nakaa namuwazia vibaya kila rafiki yangu kisa tu nina mume. Kwani wanaume wote wanachepuka na marafiki za wake zao? Haya nyumbani namprotect, huko nje nani anamprotect asikutane na wanawake? Maisha ya wasiwasi bila sababu ya msingi siyawezi
Dada Heaven Sent unafeli aisee!

Sio kama unawawazia mabaya,no..Ni kua unatumia akili ya kuzaliwa tu ku-limit exposure!

Maana una kitu kizuri,wanadamu tumeumbiwa tamaa,exposure ikivuka ni rahisi sana wenye tamaa kukuchukulia kirahisi....

Simple tu,wewe namba za rafiki zako mmeo anazo anazipeleka wapi hasa?

Na sio unam-protect eti watu wasimchukue,watu wanaepusha yale maumivu utakayapata kusalitiwa na mtu unaemfahamu tangu utoto!Hicho tu!

Huwezi mpangia asikutane na watu!

Na sio wasiwasi,ni common sense tu,wewe una marafiki wazuri,mmeo ni mtombaji,unawapeleka nyumbani masaa 24,hivi unategemea nini kama sio ujinga jumlisha ujinga?
 
Kwa kweli fisi ni fisi tu. Ukiolewa na kitombi, jiandae tu

Unataka kutuambia na wewe umeolewa na mwanaume asie kitombi?

Maana wanawake kwa ku-overate waume zao hamjambo!

Wanaume tunajuana sisi kwa sisi,hamna mwanaume asietomba mama..

Sasa wewe mpelekee nyama halafu uone!
 
Nashangaa hakuna anayekataza ndugu zake wa kike + house girls kufika kwake; kwani hao hawawezi kumbeba mumeo? Eeh kweli ndoa wito mweeh

Wewe ndugu zako wa kike unawajua kabisa ni vitombi unawaleta kwako ili iweje?

Tumia common sense!

Select carefully people/ndugu to let them into your home,if you fvck up then you are fvcked big time!
 
Wake za watu wanapigwa kwa staili hizi hizi!

Una-expose mkeo mbele ya mafisi unategemea nini?

Na wanawake pia mnapigiwa waume zenu then same way!

Wanadamu ni wanyama,inapofika kwenye uzinzi they change and become animals na kuanza kupandana!

Thats the nature!
Bitter Truth.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom