Value
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 252
- 402
Sky, wewe ni muhaya? Mbona hutaki marafiki? Ukitoka hapo utakuja kwa ndugu ujue..Kwakweli nyumbani ni sehemu ya kupumzika baada ya mihangaiko. Hao marafiki zako hawana kwao?
Teh teh...
Sky, wewe ni muhaya? Mbona hutaki marafiki? Ukitoka hapo utakuja kwa ndugu ujue..Kwakweli nyumbani ni sehemu ya kupumzika baada ya mihangaiko. Hao marafiki zako hawana kwao?
Faiza!Kwangu hatuchanganyiki, wanaume huko wanawake hukooo. Yanini taabu na raha ipo?
kama shosts mwenyewe mashallaah kajaliwa napita nae tu tena walivyo wazaifu utasikia hatoshutkaUkiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.
Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.
Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mwake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.
Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Kitamu kula na wenzio ...BIG NO
Ubinafsi ndo shida kubwa ... kila mtu ana uhuru wa kujipa raha.Vivyo hivyo kwa mkeo ukisafiri
What goes around....
Birds of the same feathers do flock together. Kama shost ameolewa na yeye awe na muda na nyumba yake. Haya mambo ya kumuomba mume amdrop shost giza limeingia ndiyo wanaanzia guest house kwanza.Ushosti/urafiki/mazoea ya kijinga na familia yangu hasa mume staki aisee,.lazima tujue kutofautisha familia na urafiki,.urafiki una sehemu yake na muda wake,.mazoea ya kupelekana mpaka vyumbani hapana kwa kweli,.kuna watu hawana staha na "vyumba" vyao atii,.mgeni akija akaribishwa hadi chumbani unako lala na mumeo,inahuuu?!!!
Hongera lakini kwa kuwa na ndoa! Hold it with care!Marafiki ninawataka lakini nyumbani ni sactuary ya ndoa yangu. Kusaidiana na rafiki isiingiliane na utaratibu wa familia yangu.
Halafu na shosti mwenyewe awe ana sura nzuri na chura iliyonona kuliko mama mwenye nyumba.Hakika alafu mume mwenyewe awe kama mr Zero IQ one mistake one goal mbona atalia kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.
Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.
Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mwake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.
Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Mimi mashost nyumbani mwiko! Labda niwe na shughuli inayofanyika nyumbani kwangu. Niwe nina Mume niwe Sina. Unashida niite tutakutana mahali tutaongea tutamaliza.
Tabia ya mashost kugeuza nyumba yangu Gheto sitaki. Na Mume wangu siwezi kumtambulisha kwa rafiki yangu.
Ooooh nimekumbuka , sina marafiki Nina watu ninaoongea nao na tunaheshimiana na mipaka yetu ipo huko mbali.
Tena ni hatari sana. Tena zaidi ya sana.Marafiki wanaopenda sana kuja nyumbani au kuijua sana familia yako ni hatari in some way as you pointed out!
Kwangu hatuchanganyiki, wanaume huko wanawake hukooo. Yanini taabu na raha ipo?
Tena ni hatari sana. Tena zaidi ya sana.
Halafu na shosti mwenyewe awe ana sura nzuri na chura iliyonona kuliko mama mwenye nyumba.
Maendeleo hayana chama
It hurts when you find out it has been happening right under your nose.Ugomvi mwingi sana wa familia hasa unaanzia kwenye usaliti wa marafiki kama hivyo!
Na hua ni mbaya na unaoumiza zaidi sababu aliekufanyia unamjua mwanzo mwisho!
Its a dangerous game!
Ila wanawake wengine sijui wana vichaa,they still do this stupid show offs na socialization bila kua makini!