Tuliofanya usaili utumishi tarehe 20 Machi tukutane hapa

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,592
5,481
Habari zenu wana Jf,Ni muda sasa tangu tufanye usaili pale Utumishi maktaba kuu ya taifa,Ni vizuri tukakutana na kuelezana kile kilichotokea siku ile
 
Kuna mtu ananiuliza kila siku tukionana ili jambo nadhani ntapata chakumjibu through huu uzi
 
Tar 20 ni mapema sana kupata matokeo kuna mda inachukua hata miezi miwili ko niuvumilivu tu maana mshakula ng'ombe kiasi chake bado kidogo tu msisahau kumshirikisha sana MUUMBA wenu inshaallah.
 
Back
Top Bottom