Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,727
10,023
Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi.

Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
 
Haaa😄😅😃🤣😂😁
Tunataka Mb Kama Ulinunua GB2
Umepewe Zote Kwa Muda Wa Wiki Ama Mwezi
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo.

Siku hizi internet nje ya kuchati ila ni biashara pia kupitia internet Watanzania wengi hufanya michongo ya pesa lakini siyo tu, wapo wanaosoma kwa njia ya masafa. Nimewasamehe kwa sababu mlinitumia message ya kunitaka radhi ila mjue kitendo cha kuanzia asubuhi mpaka jioni bila internet mmewasababishia hasara kubwa ndugu zangu Watanzania na mimi binafsi siku ya jana. Mkirudia tutagawana mbao.

Niwatakie kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom