Tulioapply diploma tukutane hapa

omary sadick

Member
Jul 16, 2017
40
14
Poleni na majukumu mie na mmoja nilieomba diploma baada ya kutokidhi vigezo vya TCU hivyo naombeni tuje tupeane ushauri humu ndani.
 
Kuna nyuzi nyingi sana humu za hayo mambo tangia JUNE, pitia hizo

Specify Diploma yA kozi gani!!
THE SNIPER.
 
Habari zenu nilikuwa naomb uxhauri kuwa nimesoma certificate ya IT pale DIT Nina GPA ya 3.4 xax nilikuwa diploma natak nikasomee computer science alafu kingine kuwa mm o'level nilisoma arts..lakin katik matokeo yang xikupat F ila nilikuwa D pamoja na C moja ya kiswahili xax nilikuwa nauliza chuo gan kinaweza kunipokea bro....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajifunze kwanza kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom