Tulioamua kuishi single baada ya kuacha wake zetu tukutane hapa

Seaman86

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
370
408
Wakubwa habari za usiku huu

Nimeamua kuachana na mke wangu rasmi leo hii tarehe 17 Nov 17 daa 22:59 siku ya ijumaa baada ya kumwona mke wangu anamaneno machafu na asiyekuwa mnyenyekevu

Kwa sasa nimeamua kuishi single mpaka miaka ya mbele sana huko

Mtoto ana mwaka na miezi sita nampeleka kwa bibi yake

Mwanamke mwenyewe amekubali kwamba tuachane maana na yeye kanichoka

Wazazi wa mwanamke hawajapata taarifa ila asbh nitawajulisha na hatua nyingine zitafuata ikiwa n pamoja na talaka pamoja na kwamba n ndoa ya Kikristo

Nawasilisha...

Karibuni wadau
 
Kama bado upande wa mwanamke subiri ukoo uje kukubembeleza hadi urudi kundini
Naamini upande wa mwanamke haiwezi kuwa kizuizi maana mara kibao tumekuwa tukikorofishana na anayapeleka huko na wao wanasema sisi ndio wenye maamuzi
Na mbaya zaidi hata huko kwao wanaachwa sana wanawake wako single tu
 
haaaaaaa kuna jirani yangu hapa maji yamemfika shingoni picha linaanza mtoto katoka chotara alafu ye ni mweusi tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata wewe huyo mtoto chunga sana bro
 
Wakubwa habari za usiku huu

Nimeamua kuachana na mke wangu rasmi leo hii tarehe 17 Nov 17 daa 22:59 siku ya ijumaa baada ya kumwona mke wangu anamaneno machafu na asiyekuwa mnyenyekevu

Kwa sasa nimeamua kuishi single mpaka miaka ya mbele sana huko

Mtoto ana mwaka na miezi sita nampeleka kwa bibi yake

Mwanamke mwenyewe amekubali kwamba tuachane maana na yeye kanichoka

Wazazi wa mwanamke hawajapata taarifa ila asbh nitawajulisha na hatua nyingine zitafuata ikiwa n pamoja na talaka pamoja na kwamba n ndoa ya Kikristo

Nawasilisha...

Karibuni wadau
Karibu mkuu. Me nimeanza hii safari toka 1January baada ya kushudia akigegedwa.
 
Back
Top Bottom